Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,766
- 10,611
Inaelezwa kuwa moja ya sababu inayopelekea nchi za wenzetu kuwa juu kimpira ni kutokana na wao kuwa na academy zinazowafundisha watoto mpira tangu wakiwa na umri mdogo.
Turudi kwenye mada,
Katika uzoefu wangu wa kupiga story na masela, nimekuja kukuta.
1) Kama akiwa anajielezea kuwa yeye ni mtaalam kitandani,mara nyingi unakuta ameanza mapenzi akiwa mdogo,mf primary(hakusubiri ndoto nyevu,goli la kwanza papuchini).
2)Akiwa anamsifia msichana fulani kuwa huyo msichana huyo ni mtaalam kitandani basi ukifuatilia huyo msichana unakuta ameyaanza mapema.
Maswali yangu ni
1) Hivi inawezekana kwa msichana anayeolewa(au mvulana anayeoa) akiwa na 26+ huku ni bikira au hana uzoefu wa mikiki mikiki na bado akaja kuwa na utaalam? Maana unaweza kuwa unamlaum mtu ni mchovu ktandani kumbe ni automatically unamlaumu kuchelewa kwake kuyaanza
2) Huo utaalam unaojidai nao au ushallow wako unaojilaumu nao una uhusiano wowote na muda ulioanza kufanya matusi?
KWA UFUPI NI : JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA UTAALAM WA MTU NA MUDA ALIOYAANZA?
TAFADHALI,UNAPOTOA MAONI ANZA NA STATUS YAKO(Shallow,Kawaida,Mbabe au Hujawahi)
Kisha useme umeanza ukiwa na umri gani.