Mapenzi ya mjini siyawezi

Mapenzi ya mjini siyawezi

inategemea amekuomba akafanyie nini.... kabla hamjawa wapenzi mlikuwa mnafahamiana vipi
 
ni mbahili sana huyu wenzako wanalipa kodi ya miaka wew unavurugwa na 20 mh kwel nora nimheshim huyu nlienae
 
Wiki moja tu ya mahusiano yetu mapya anataka ni mpe 20,000 hama kweli mapenzi ya mjini shida

Afu wanaanza ivi "baby kuna kitu nataka nikwambie ila naogopa..." kwendraa huko wizi mtupu!unaniletea mapenz mapesa,basi tembea na benk ndo iwe mpz wako.Ndani ya miezi mi3 nshapiga vibuti madem 3,hela ninayo na wala sio bahili lkn huwa napenda sn kuwapima watoto wa kike,nikishagundua ww ni mapz pesa nachapa lapa fasta mana ww huna mapz ni mchunaji tu!
 
watu humu wanajifanya eti 20,000 ni ndogo sana.. acheni hizo bana hata ningekuwa mimi mtu nimefahamiana naye hata wiki haijaisha anaanza kuomba pesa mmm hata nikimpa lazima nimtilie mashaka.
pesa haitolewi kirahisi namna hiyo hata kama ni 5000 lazima nihoji kwanza ya kazi gani nikikuta ni upuuzi simpi kama kuchukia achukie tu.
 
Yaani nimepitia comments zenu humu , nacheka mwenyewe hapa Kama chizi
 
Nyie mnaosema 20 tu, unaiona ndogo mnajifanua mnajua sana kuonga/kuhongwa cjaelewa kutoa pesa inategemea na kipato cha mtu na matumizi yake mwanaume mwenye malengo hawezi kuwekeza shimo
 
Back
Top Bottom