irakiza
Member
- Jan 26, 2015
- 99
- 20
Mm ni kijana mwenye kujitambua na nina akili timamu sijakurupuka kuandika tangazo hili. Ki ukweli natafuta mchumba jinsia ya kike ambaye ana umri kuanzia 20-28 mwenye nia ya kuanzisha mahusiano kisha kuwa mke na mume. Vigezo na sifa tutavijadili pm na si kigezo kikubwa kwangu. Kwa aliye serious na post hii aniPM