Msaada jamani wapendwa!

Msaada jamani wapendwa!

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
5,178
Reaction score
8,453
Poleni sana na miangaiko ya kufunga kampeni, asanteni kwa wale waliojiandaa kufanya ukataji Kesho mapema.
WAnajukwaa mie ni kijana wa kiume miaka 28, kulitokea kutoelewana na mchumba wangu mwaka na nusu sasa imepita na kila mmoja akala hamsini zake kwa mazuri tu. SHida ikawa kwangu, kwani tokea kipindi hicho chote sijisikii kua na moyo wa kumpenda tena jinsia ya kike ili kutayarisha tena mchumba.

Mwanzo nilidhani kua tatizo litapungua bali linazidi kuongezeka.
Naombeni msaada,Je ni kawaida kweli au kuna sehemu/mahali hakiko sawa?

Uchaguzi mwema wrotewrote
 
Upo kama x wangu.japo alinambia saiz anatafuta tu pesa .sasa sijui ww mlipoachana ulijitamkia maneno gan.kama hujiskii kuanzisha mahusiano mengne basi tulia had moyo wako utapo ridhia.usijilazimishe
 
Ujitahidi uwe serious na future ya familia yako ukifanikiwa ni rahisi sana kujifunza kumpenda mwanamke af baadae unafolo deeply kinoma!
 
SHida ikawa kwangu, kwani tokea kipindi hicho chote sijisikii kua na moyo wa kumpenda tena jinsia ya kike

Kuna kitu ambacho hakipo sawa! Ngoja waje kwanza
 
Ukisahahu moyo utarudia kupenda tena.

Nilishasahau kila zuri na baya za x wangu,moyo umebaki kua nzito kwa kupenda hata kumtongoza msichana imekua kazi naogopa mpaka washikaji wants hangarwants hangar
 
Poleni sana na miangaiko ya kufunga kampeni, asanteni kwa wale waliojiandaa kufanya ukataji Kesho mapema.
WAnajukwaa mie ni kijana wa kiume miaka 28, kulitokea kutoelewana na mchumba wangu mwaka na nusu sasa imepita na kila mmoja akala hamsini zake kwa mazuri tu. SHida ikawa kwangu, kwani tokea kipindi hicho chote sijisikii kua na moyo wa kumpenda tena jinsia ya kike ili kutayarisha tena mchumba.

Mwanzo nilidhani kua tatizo litapungua bali linazidi kuongezeka.
Naombeni msaada,Je ni kawaida kweli au kuna sehemu/mahali hakiko sawa?

Uchaguzi mwema wrotewrote

Pole, hayo yanatokeaga sana tu lakn usivunjike moyo
 
Mwenyewe ilinitokea,sikiliza painy songs hasa zile za diamond itakusaidia kijana
 
Upo kama x wangu.japo alinambia saiz anatafuta tu pesa .sasa sijui ww mlipoachana ulijitamkia maneno gan.kama hujiskii kuanzisha mahusiano mengne basi tulia had moyo wako utapo ridhia.usijilazimishe

Mkuu mie kwasasa nimejikita kwenye kutafuta PESA
 
Inategemea kila mtu na nafsi yake inavyomtuma,mimi baada ya kuutendwa nilichukua 3yrs ndio nikaamua sio kama walikua hawaji no moyo wangu haukua tayari kufanya maamuzi,usijitese akili as long as haikumizi wala kiu ya mwanamke huna shukuru mungu na zidi kutafuta maisha na kama yupo unae mfikiria basi nenda nae mdogo mdogo....
 
Poleni sana na miangaiko ya kufunga kampeni, asanteni kwa wale waliojiandaa kufanya ukataji Kesho mapema.
WAnajukwaa mie ni kijana wa kiume miaka 28, kulitokea kutoelewana na mchumba wangu mwaka na nusu sasa imepita na kila mmoja akala hamsini zake kwa mazuri tu. SHida ikawa kwangu, kwani tokea kipindi hicho chote sijisikii kua na moyo wa kumpenda tena jinsia ya kike ili kutayarisha tena mchumba.

Mwanzo nilidhani kua tatizo litapungua bali linazidi kuongezeka.
Naombeni msaada,Je ni kawaida kweli au kuna sehemu/mahali hakiko sawa?

Uchaguzi mwema wrotewrote
Asante subiri kidogo nina jukumu zito kidogo hapa mita 200.001 kutoka kituo cha kupigia kura niione baadaye tafadhari!
Tufanye kwenye saa mbili hivi usiku au VIPI?
 
fanya ibada,mrudie MUNGU itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuweza kusonga mbele
 
Pole sana inaonekana uliumia sana, uruhusu moyo wako kupenda usipende kukumbuka yale yaliyokuumiza jaribu kukumbuka mazuri zaidi itakusaidia
 
anza kupiga ulabu vuta ganja akili itakaa sawa.
 
Back
Top Bottom