Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza..rafiki wa kike namuhitaji ambaye kesho atakuwa mke kwangu...awe muslim,elimu ya aina yeyote,awe mweupe ama maji ya kunde,mnene kiasi kuanzia,umri...
Habari wakuu,
Mimi na mchumba wangu tulikutana secondary tukiwa darasa moja, kiumri tumepishana miaka mitatu yeye ana 27 mimi 30, katika kipindi chote cha masomo ya o level hatukuwahi kuzungumza...
Mpo?
Kwa anayejua maisha ya chuoni anajuwa vijana wanavyopenda vya bwerere.Wakati nilipojiunga na chuo kikuu nilipatana na msichana mmoja tajiri aliyekuwa mwaka wa tatu. Tuliendelea na mahusiano...
Nakua mkweli mpaka mwisho ili mnisaidie wanajamvi,
Kuna msichana najichapia na pia ni gari la mshahara maana nikiwa nashida na pesa mapema tu napewa kitita.
Nikaanza kujiona baba mwenye nyumba...
NAMNA WAZAZI WA NAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka...
Already got ma serious one!he is a long tym friend of mine not from jf and its almost a month now am in a serious relationship!no more replies,no more pm's!!
Thank u all!!
Habari,
Hivi imewahi kutokea ukampenda mtu mwingine, sio kumtamani, namaanisha ukampenda while you are in marriage? And why this happens, a friend of mine happened to love another man mbali na...
Mimi ni kijana ninajitegemea na kipato cha wastani nahitaji mwanamke mwenye miaka tajwa hapo juu wa kudate naye mimi nina miaka 31 hawa wa chini wengi wao sivutiwi nao kwa aliye tayari ani PM
Nimekua katika mahusiano na mkaka mmoja for a while now...
Kama mwaka,honestly speaking at first wakati tunaanza kujuana,sikua na nia nae kabisa..yaani hakua love at first sight,bt since nilikua...
Habari Wana Jf Wote Wa Humu Ndani.Naombeni Msaada Tafadhali.
Shemeji Yenu Ananilazimisha Sana Nimfanye Kinyume Na Maumbile.Wiki Ya Pili Sasa Ameng'ang'ania Na Hakuwahi Kuwa Hvo Hapo Awali Sasa...
Make a Man Fall in Love with You
1.ATTRACTING HIM
I. Show that you care about your appearance and health. By putting time and energy into your physical appearance, you will demonstrate to...
Wana jamvi,
Nina mschana ambae alikuwa na jamaa yake huko nyuma sasa ikatokezea wakaachana ila mimi nilikuwa sijui kama wameachana na kama ana mtu nilimfuatilia mschana yule kwa zaidi ya mwaka...
1.Wanaume Wengi tunakosea kwa kupenda kuwa na wapenzi wazuri wa umbo, sura na hata sauti yaani kifupi wanaovutia ili marafiki wakimtazama wamsifie. Hilo ndilo kosa na hutupatia wakati mgumu kwenye...
heshima kwenu wakuu.natafuta marafiki Wa kike na Wa kiume especially ambao wapo chuo kama vile ardhi,Udsm na vyuo vngne dar lengo mi kushare ideas na vitu vingne plz naomba ushirikiano wenu...
Mimi sifa yangu kubwa huwa sipendi kuficha ficha hasa pale napo hitaji msaada au wazo.
Kwanza kinacho nisumbua inawezekanaje binti nilie kaa nae takribani miaka 4 kama sio 5 mpaka dakika hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.