Wanaume: Kwanini hampendi ndugu wa wake zenu?

mtoto mpole

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2010
Posts
678
Reaction score
148
Hivi inakuaje mwanaume umeoa alafu hautaki ndugu wa mke waje kukutembelea?

Kunatokea na harusi ukweni huendi sherehe huendi unajifanya upo busy au unajifanya haupendi sherehe.

Wakati zikitokea za kwenu mnakua vimbelembele na kuforce mke ashughulike mwanzo mwisho.

Mnajitahidi kufanya watoto wawe kwenu tu upande wa mke hapana, aisee kuishi na mume wa hivi unahitajika uvumilivu wa hali ya juu.

Wanaume acheni ubinafsi.
 
Jaribi uwe unaongelea ndugu zako vizuri na kwa uzito unaostahili. Usije ukasema hata siku moja shangazi nae hivi na hivi then wiki ijayo unaomba kwenda kwa shangazi uliyemponda. Muongelee shangazi vizuri... yaani mi shangazi alitulea, anatupenda haiishi wiki hajapiga simu.... mvute aone ukaribu uliokuwa nao na nduguzo. Mueleze jiinsi unavyojisikia vibaya asiposhiriki shughuli zao. Mueleze jinsi anavyojisikia faraja ukishiriki za kwao. Sikushauri hili ila kwa vichwa maji ka sie ikifika shughuli muhimu ya kwao umwa au safiri. Mara 2 ukikosa watu wataanza kuuliza na yeye atajiuliza nakukumbuka malalamiko yako. Mara nyingine watu hujifunza kirahisi kwa vitendo
 
waaai achana nae tu usijekufa kabla ya 2020.
 
ubinafsi ubinafsi ubinafsi yani ubinaadamu ni kazi sana sijui mtu uishi vipi aaagrrrr
 
Jaribi uwe unaongelea ndugu zako vizuri na kwa uzito unaostahili. Usije ukasema hata siku moja shangazi nae hivi na hivi then wiki ijayo unaomba kwenda kwa shangazi uliyemponda. Muongelee shangazi vizuri... yaani mi shangazi alitulea, anatupenda haiishi wiki hajapiga simu.... mvute aone ukaribu uliokuwa nao na nduguzo. Mueleze jiinsi unavyojisikia vibaya asiposhiriki shughuli zao. Mueleze jinsi anavyojisikia faraja ukishiriki za kwao. Sikushauri hili ila kwa vichwa maji ka sie ikifika shughuli muhimu ya kwao umwa au safiri. Mara 2 ukikosa watu wataanza kuuliza na yeye atajiuliza nakukumbuka malalamiko yako. Mara nyingine watu hujifunza kirahisi kwa vitendo

Ushawahi ona watu ambao wanathamini only what belongs to them?
 
Simple....
Kama hataki ndugu zako na wake wasije....

Asiposhuriki kwako na kwake usiende......

Kuna viunbe bila kuvifundisha njia ngumu watakusumbua...
 
Hiv inakuaje mwanaume umeoa afu hautaki ndugu wa mke waje kukutembelea?kunatokea na harusi ukweni..huendi..sherehe huendi unajifanya upo busy au unajifanya haupendi sherehe..wakati zikitokea za kwenu mnakua vimbelembele na kuforce mke ashughulike mwanzo mwisho...mnajitahidi kufanya watoto wawe kwenu tu upande wa mke hapana...aisee kuishi na mume wa hivi unahitajika uvumilivu wa hali ya juu...wanaume achen ubinafsiiii.

falacy of generalization.....
 
Wanakuja kupiga umbeya tu na kuchonganisha,na mara nyingi hu unja ndoa,watamchochea binti yao wewee mpaka
 
Jaribi uwe unaongelea ndugu zako vizuri na kwa uzito unaostahili. Usije ukasema hata siku moja shangazi nae hivi na hivi then wiki ijayo unaomba kwenda kwa shangazi uliyemponda. Muongelee shangazi vizuri... yaani mi shangazi alitulea, anatupenda haiishi wiki hajapiga simu.... mvute aone ukaribu uliokuwa nao na nduguzo. Mueleze jiinsi unavyojisikia vibaya asiposhiriki shughuli zao. Mueleze jinsi anavyojisikia faraja ukishiriki za kwao. Sikushauri hili ila kwa vichwa maji ka sie ikifika shughuli muhimu ya kwao umwa au safiri. Mara 2 ukikosa watu wataanza kuuliza na yeye atajiuliza nakukumbuka malalamiko yako. Mara nyingine watu hujifunza kirahisi kwa vitendo

Exactly ukisema shangazi yako mchawi
halafu nifurahi kumuona kaja home?
 
Wanakuja kupiga umbeya tu na kuchonganisha,na mara nyingi hu unja ndoa,watamchochea binti yao wewee mpaka

Kuna ndugu.....kama ulikuwa unarudi saa tisa usiku na mkeo hana shida
wakija ndugu zake hao mkeo anaanza kununa why unarudi usiku
..sasa hapo si moja jumlisha moja ni mbili?
unajua kabisa 'wanaomshikia akili' wamefika
 
Ndugu wa mwanamke wanakugeuza PRESHEDEE, ndomana unaamua kuwaweka kando sometimes!!
 
Haaa haaaa mleta mada kaangalia upande wake hajafanya utafiti wa kutosha.Mimi ninashiriki kila tukio upande wa mke wangu liwe la shida kwa maana ya kifo au raha kwa maana ya harusi,ubarikio...........

Ushawahi ona watu ambao wanathamini only what belongs to them?
 
Jaribi uwe unaongelea ndugu zako vizuri na kwa uzito unaostahili. Usije ukasema hata siku moja shangazi nae hivi na hivi then wiki ijayo unaomba kwenda kwa shangazi uliyemponda. Muongelee shangazi vizuri... yaani mi shangazi alitulea, anatupenda haiishi wiki hajapiga simu.... mvute aone ukaribu uliokuwa nao na nduguzo. Mueleze jiinsi unavyojisikia vibaya asiposhiriki shughuli zao. Mueleze jinsi anavyojisikia faraja ukishiriki za kwao. Sikushauri hili ila kwa vichwa maji ka sie ikifika shughuli muhimu ya kwao umwa au safiri. Mara 2 ukikosa watu wataanza kuuliza na yeye atajiuliza nakukumbuka malalamiko yako. Mara nyingine watu hujifunza kirahisi kwa vitendo

Umeshaanza . . . . .
 
Back
Top Bottom