Makabila na adhabu za watoto wao

Makabila na adhabu za watoto wao

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
1. Wajaluo - Mtoto alipelekwa kwa wazee wa familia kukanywa na alipewa kazi nyingi. Adhabu ya viboko ilianza kuwa kali baada ya ukoloni.

2. Warangi - Adhabu ya viboko haikuwa kali. Mara nyingi mtoto alikanywa na wazee wa familia.

3. Wahaya - Mtoto alikuwa akinyimwa chakula, kufungiwa nje, kupewa kazi nyingi, na kutishiwa mizimu mfano 'Nyarungu'

4. Wakuria - Mtoto alipewa adhabu kutokana na umri wake. Pia, walitumia njia ya kumnyima chakula.

5. Wazanaki - Mtoto alipigwa na anaweza kunyimwa mlo na kuishia kulala bila kula kama hakuwajibika vizuri.

Jazia na makabila mengine na adhabu zao kwa watoto.
 
wachaga kufungiwa chini ya kahawa linguma lije likuchukue
 
Wachagga kunyimwa chakula na kufungiwa nje.
 
Wangoni , mtoto wa kike akikosea anavishwa chupi ya chuma hakuna kufanya
 
Hawa labda wakikosea wanapelekwa ngomani.
Hebu ngoja rafiki yangu KIOO atusaidie.

Hahahaaa, sikioni kibonyezo cha KUTAMANI/KUPENDA mwaya sijui kiwapi jamani,ila hii itabidi niulizie kwa kweli coz nimezaliwa dar nimekulia dar sasa sjajua huwa wanapewa adhabu gani mamiii.

Lakini kuna adhabu nyingine mweeeh, acha tu my dear kama hii hapa akuuuuuuuu...!

attachment.php7.jpg

Lakini jamani nilivyoku-miss my loveliest O.G.Ks my. Miss you thooooooooo April jmn.
 
Hahahahaaa hiyo sio adhabu bali kuuwana.
Miss you more dearest.
 
Duh hao wajaluo kumbe ndio maana wanangeu sana...sie wazalamo mdomo tu unatosha
 
Back
Top Bottom