Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanaJF, Leo jumamosi nimeshinda home kwangu wife na binti wangu wa kazi wakatoka kidogo nikajisikia leo nipekue chumbani kwa dada wa kazi cheki mabegi nk . Mpaka chini ya kitanda hii...
2 Reactions
150 Replies
29K Views
Ni kwanini mwanamke mwenye maziwa makubwa yaliitwa Mtindi? Jina mtindi liliasisiwa na wenyeji wa mkoa gani? Vipi kwa leo hii bado yanaitwa mtindi au kuna jina jipya?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naomba nipate utaratibu ni hatua gani zinatakiwa zifuatwe baada ya kumpata mwenza hadi kufikia hatua ya kufunga ndoa namaanisha baada ya wazazi kuwatambua ni hatua gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya, nina miaka 25 na kuna msichana fulani nimempenda. Mi ni mchotara wa baba Mkenya na mama Mzungu America. nililelewa America na Kenya, lakini nilipokuwa 16 ikahitaji niache shule kwamba school...
3 Reactions
79 Replies
11K Views
ggggggggggggggggg
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimelazimiki kuwaza hivi kutokana na haya mapenzi kutusumbua vichwa, yani watu wazima na heshma zetu ni vipi tunateswa na mapenzi kiasi hiki? Yani mtu unahangaika kutafuta hela kwa ajili ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwakweli nimekua nikitafakari sana hii kauli ya "tutakuwa wote katika shida na raha" ambayo huwa inatumika sana wakati wa kufunga ndoa inaniletea utata sana kwani nimejaribu fanya research ndogo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
WanaJf naamini muwazima wote, Nimegundua hapa duniani wanaoishi kwa amani na kujiamini ni wanaume lakini wanawake ni wapambe tuu haminini msiamini hili jambo sio rahisi kuligundua bila...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
Wengine huoa kwa kutafta watoto, Wengine mapenzi, Wengine mtu wa kisimamia biashara. Wengine company. Wengine kwa sababu ya umri kusogea. Wengine kupata wa kulea watoto. Wengne kupata wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
za mda huu jamani... ctaki kuwa na maneno mengi ila ninaanisha.nahitaji mpz wa kike na sio kupotezeana mda nae awe anamaanisha.... 0688600155
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima kwenu! Naomba ushaurg kwa mambo yafuatayo; 1) Je kama mwanaume alifunga ndoa ya kanisani (katoliki),halafu ndoa ikavunjika kwa talaka mahakamani,anaruhusiwa kufunga tena ndoa nyingine...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
"Uongo na usaliti wa wanaume ktk mapenzi ni mafunzo tosha ya mahusiano kwa wanawake"
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama inavyosomeka hapo juu, natumaini nitapata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenu. Asante
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani, kila mtu alipenda aone shujaa huyo pamoja na familia yake, akiwemo mkewe kipenzi Bibi Winnie Madikizela Mandela aliyetaabika kwa muda wote wa miaka 27...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Mkeo anakwambia toka nimeishi nawewe nimekua maskini ningekua mwenyewe ningekua mbali. Anachukua mkopo anapeleka kwao una muuliza anakwambia haikihusu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
******MATESO YANGU******* ********SEHEMU YA 001******** Ilikuwa Yapata Majira ya Saa tano na Nusu usiku nikiwa kwenye gari nikitokea maeneo ya Tegeta nikielekea Nyumbani Kigamboni. Ulikuwa...
2 Reactions
279 Replies
27K Views
Wanajamvi kama kawaida yangu mgeni nisiyekosa neno nimerudi tena na tafakuri hii,kutokana na kusalitiana na mahusiano mengi kulega lega sana hasa kwa vijana wa kileo a.k.a. Makeup boys siyo sahihi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah! Inaniuzunisha ila ndio hivo amenikimbia na kuniacha solemba huyu mpenzi wangu kisa tu nakoroma sana.Ilikuwa kama utani mara nyingi ananiambia we sikununu unakoroma sana kama chura mda...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Anikulapo Kuti akiwa na wake zake watatu wakati wa ndoa yao. FELA Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa walimwengu kwa kufunga ndoa na wanawake watatu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…