Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,548
ggggggggggggggggg
Bollocks...........
ukweli kaka ni kwamba huyo ni mpumbavu nami nikisia wangu kafanya hivyo napiga chini japo nshatoa mahali, kikubwa aombe msamaha wa kweli maana kama kukusaliti kwenye hilo hayo ndo maandalizi ya usaliti mkubwa, mimi sikuwa ukawa ila usaliti ni mbaya hata kama ukimsaliti shetani.
kwanini akiuke makubalino
Acha ujinga ndio maana mliambiwa malofa. Kwa uamuzi huo namsupport aliyewatukana
Couilles
Yaan mkuu hawa watu nimeamini ni vigeugeu kabisa. Na mimi nitamsamehe lakini hatutakuwa pamoja tena. Aende kwa hao wanaojiita mbele kwa mbele...