Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama inavyosomeka hapo juu, natumaini nitapata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenu. Asante
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani, kila mtu alipenda aone shujaa huyo pamoja na familia yake, akiwemo mkewe kipenzi Bibi Winnie Madikizela Mandela aliyetaabika kwa muda wote wa miaka 27...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Mkeo anakwambia toka nimeishi nawewe nimekua maskini ningekua mwenyewe ningekua mbali. Anachukua mkopo anapeleka kwao una muuliza anakwambia haikihusu.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
******MATESO YANGU******* ********SEHEMU YA 001******** Ilikuwa Yapata Majira ya Saa tano na Nusu usiku nikiwa kwenye gari nikitokea maeneo ya Tegeta nikielekea Nyumbani Kigamboni. Ulikuwa...
2 Reactions
279 Replies
27K Views
Wanajamvi kama kawaida yangu mgeni nisiyekosa neno nimerudi tena na tafakuri hii,kutokana na kusalitiana na mahusiano mengi kulega lega sana hasa kwa vijana wa kileo a.k.a. Makeup boys siyo sahihi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah! Inaniuzunisha ila ndio hivo amenikimbia na kuniacha solemba huyu mpenzi wangu kisa tu nakoroma sana.Ilikuwa kama utani mara nyingi ananiambia we sikununu unakoroma sana kama chura mda...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Anikulapo Kuti akiwa na wake zake watatu wakati wa ndoa yao. FELA Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa walimwengu kwa kufunga ndoa na wanawake watatu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Kuna msichana nilikuwa naye katika mahusiano, alikuwa ananipenda kweli na katika mapenzi ya kitandani alikuwa vizuri tu. Kasoro kitu kimoja. Alikuwa hataki tupigane ‘denda’ wakati denda ndo ulevi...
7 Reactions
73 Replies
12K Views
Natafuta mama friend mm aged 35
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Deleted!!
0 Reactions
0 Replies
785 Views
For chat, social drinking and hangout. Age 22 - 30, clean and sound mind. At least a diploma. Tall. Preferably 1 or 8 but not 0. Must have a smartphone and not a friend with dala dala. Non...
0 Reactions
2 Replies
813 Views
So Mimi maamdiko ya biblia Ole
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Naomba mnijulishe tabia za wanawake wa kabila hili maana naona wengi sana wamezaa bila ndoa, na pia nilishawahi ona mzazi akimuonya mwanae asije akaoa Mmanyema
2 Reactions
90 Replies
43K Views
Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyu mchuchu alipatwa na orgasm ya masaa matatu hadi ikabidi jamaa yake amkimbize ER. Sasa cha kujiuliza, huyo jamaa yake alifanya mautundu gani hadi mdada akafikwa...
3 Reactions
44 Replies
7K Views
Yani mwanamke unampenda na kuonyesha mapenzi yako kwake lakini yeye wapi! kweli nimeamini kupenda sio kazi, kazi ni kumpata akupendae kwa dhati
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Napenda jitokeza kwa safu hii kutafuta mwenza wa kike wa maisha sifa zake. mwenye hofu ya mungu, awe na elimu kuanzia fomu 4 nakuendelea, itakuwa njema kama atakuwa ameajiriwa katika sekta...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
1). Never raise your voice for any reason to your husband. Its a sign of disrespect.(Prov 15v1) 2). Don't expose your husband's weaknesses toyour family and friends. It will bounce back at you.You...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kwa upande wangu naona kama salamu ni unafiki. Kwa sababu mtu anakuuliza mfano "Habari yako?" Lakini kichwani tayari anakua na jibu ambalo anajua atalisikia kutoka kwako, ambalo ni 'nzuri' au...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Swali hili nimeliibua kutoka kwenye Tangazo la Magodolo ya QFL, Kuna wadada wengi wapo kwenye kikao, wanamshauri mwenzao aliyechelewa kuamka na kufika kikaoni kwa ajili ya kulalia Godoro la SUFI...
7 Reactions
180 Replies
13K Views
Back
Top Bottom