LEVEL
Senior Member
- Jul 4, 2013
- 195
- 51
Kwakweli nimekua nikitafakari sana hii kauli ya "tutakuwa wote katika shida na raha" ambayo huwa inatumika sana wakati wa kufunga ndoa inaniletea utata sana kwani nimejaribu fanya research ndogo tu ya kina dada wengi huwa wanaishi vizuri sana na wapenzi/waume zao kipato kinapo kua kipo a.k.a wakati waraha lakini inapo tokea bahati mbaya jamaa ukayumba kiuchumi na raha kutoweka huu upande wa shida huwa ni tatizo kweli inamaana wanawake husahau kuwa waliapa katika shida na raha au ni nini tatizo hasa?
Wanaume tulio kwenye ndoa na wanao tarajia kuingia kwenye ndoa tumwombe sana Mungu atupe uzima, atutie nguvu na atuepushe na majanga yote ili tuwe vizuri kusaka maisha tutunze ndoa zetu kwani shida wanawake wetu hawazitaki kabisa.