Ujumbe wa Leo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujumbe wa Leo!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Jan 20, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  "Uongo na usaliti wa wanaume ktk mapenzi ni mafunzo tosha ya mahusiano kwa wanawake"
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yani wewe unaona wanaume ndo waongo siku zote, wanawake huwa hawasemi uwongo!!!
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nani kasema hilo uliloongelea we dogo? acha uvivu wa kufikiri, ndugu
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2015
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  well said ndyoko bila usiwe unaadimika kiasi hicho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Lavan Island

  Lavan Island JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2015
  Joined: Oct 24, 2015
  Messages: 1,507
  Likes Received: 916
  Trophy Points: 280
  Mkiambiwa ukweli hamuamini
  Ila uongo ndio size yenu kina dada binafsi uongo umenisaidia kuwapata wengi ni tofauti na nikiongeaga ukweli.
   
Loading...