Tokea Mdogo wangu wa kike amalize mitihani ya form 4 wiki iliyopita amekuwa akigombana sana na Bi mkubwa mpaka nimepigwa na butwaa kwa maneno wanayotupiana.
Baada ya malumbano kuzidi na dingi...
Habari wana Jf?
Ni siku nzuri na ya pekee sana huwa tuna iita jumapili .
Kiukweli nimeamini kweli mapenzi yana nguvu sana pale tu unapo tokea kumpenda mtu kwa dhati pasi kujiegemeza kwa uzuri...
Inatokea unapata mtoko na mpenzi mpya na baada ya kubadilishana anuani-za mawasiliano zikiwemo zile za mtandaoni unapata tashwishwi ya kuingia katika ukurasa wake wa facebook. Lahaula, huko...
Bwana Yesu Asifiwe???
Hiyo Ndiyo Hali Halisi, Vijana Wengi Ndio Wanaojitokeza Kuhtj Wake Wa Kuoa Kule Kwny Lv Connect Kuliko Mabinti. Na Wakati Huku Kwny MMU Wengi Wao Wanaonekana Ni Single...
Kwakweli nimesikitika sana ulivyosema unaumwa malaria for 2 dayz now!May dea may u ponaa haraka ili safari ya mkuranga iweko kama kawa,dont forget to take pills,juice na matunda,ugua haraka haraka...
Mwanaume mwenye aibu.ninaposema aibu namaanisha ile aibu flani hivii ya kuogopa wanawake, mwanaume ambaye akiwa mbele ya wanawake hukuti anaongea vitu hajaulizwa,anakaa kimya hadi aulizwe...
Hata umbembeleze vipi hata umpe kila kitu bado mwanamke huyu haridhiki hata ukipenda na hata ukawa zuzu bado yeye unamuudhi hivi nyie wanawake mufanyiwe nini na waume zenu mupate kuridhika.
Sasa...
Wadau ni tatizo kubwa naombeni ushauri wenu,
Mimi ni kijana wa miaka 33 sijaoa ila nina mtu(mchumba) nafikiria kuoana naye.Takribani kama wiki imepita hivi nilikutana na mdada mmoja maeneo flani...
Habari zenu,
Wanajukwaa natumaini mnaendelea na majukumu ya kila siku, nimeona sio vibaya tukipeana ushauri kwa jambo nalopitia kwa sasa ingawa inaweza onekana jambo la kawaida kwa wenzangu...
Shikamooni wakubwa marahaba wadogo zangu na habari zenu mambo zenu wa rika langu.
Nimekuwa nikijuliza juu ya hili hivi ni kwa nini wanaume walio wengi wanabadilikia wake zao mara tu baada ya...
Niliachana na mke wangu mwaka jana kwa sababu zisizozuilika . Tumezaa mtoto mmoja wa kike ambaye kwa sasa ana miaka saba. Baada ya kuachana na mke wangu nilimuomba mama mkwe mwanangu abaki nae...
Habari za usiku huu,
Bila ya kuwa nafungana na upande wowote wa siasa ntawasalimu tena kwa mara ya pili. Na wapendwa. BTT; I miss those days ambazo nilikuwa na fall au namzimikia au namdondokea...
Nimegundua kuwa kumbe kutangazwa kwa matumizi ya kondomu, ni kutoa fursa ya kuendelea kufanya umalaya, maana wanandoa wala hawahitaji kondomu.
Matangazo ya matumizi ya kondomu kwenye Tv, ndo...
Wana Jf,
Kuna dada ameonekana uchumi supermarket quality centre nina ujumbe wake muhimu sana nadhani anamiliki gari 'nadia ' maroon number T688 BVN naomba mwenye kumfahamu yeye au hii gari...
Wadau amani iwe juu yenu.
Nashukuru sana uwezo wa MUUMBA kwa kutujaalia mimi na mwenza wangu kupata watoto mapacha wa kike na kiume.
Naomba mdau pendekeza majina manne 2 kike na 2 kiume nichague...
Habarini wana MMU,
Siku kadhaa zilizopita JF ilikumbwa na matatizo ya kiufundi ambayo mods wamesema ni kutokana na mashambulizi sijui kutoka wapi (mimi sio mtaalam sana wa IT)
Kama ilivyo kwa...
Kama mwanaume una miguu, baiskeli au bodaboda utabakia kuwaona warembo tu kwa macho mjini.
Mjini raha kwa wenye nazoo, mjini raha, UCHAWI MKUBWA YAANI WAREMBO WANAPIGANA VIKUMBO KILA KUKICHA...
Nakiri nimekuwa inspirered kuleta uzi huu kutokana na uzi wa mwanamaumivu mwenzangu Surupwenye
Paulina mamii!, umenifanya niwachukie wanawake wote duniani! Coz of u!
Nimekusomesha mamii, Songe...
Kama wewe ni mwanamke ambae hujafanya tendo la ndoa siku nying na ungependa ufanye kwa sababu hamu imekuzidia au hukuwah kufanya na unahitaji ufanye kwa uharaka.usihofu dokta yupo atakae...
Leo tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja namada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana.
Suala la...