Jamani Bujii..

Jamani Bujii..

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
321
Kwakweli nimesikitika sana ulivyosema unaumwa malaria for 2 dayz now!May dea may u ponaa haraka ili safari ya mkuranga iweko kama kawa,dont forget to take pills,juice na matunda,ugua haraka haraka na upone polepoleeeeeeeeeeee,Miss u Bujibuji.
 
Kwakweli nimesikitika sana ulivyosema unaumwa malaria for 2 dayz now!May dea may u ponaa haraka ili safari ya mkuranga iwepo kama kawa,dont forget to take pills,juice na matunda,ugua haraka haraka na upone polepoleeeeeeeeeeee,Miss u Bujibuji.
 
Kwakweli nimesikitika sana ulivyosema unaumwa malaria for 2 dayz now!May dea may u ponaa haraka ili safari ya mkuranga iweko kama kawa,dont forget to take pills,juice na matunda,ugua haraka haraka na upone polepoleeeeeeeeeeee,Miss u Bujibuji.
kwani bujibuji anatumia pills.?
 
Sooooooo, touching!!!!
Haya bwana ugua haraharaka na u get well pole poleeeeeeeeeeeeee!!!
 
Bad and poor mentality. Pills ni vidonge vyovyote vile for any type of medication..kibongobongo watu wanajua ni mambo ya nyota ya kijani.
hauko mbali na ukweli JIMMY, ndo faida ya kuwa member JF , unapata na darasa la mambo usiyo yajua.
 
Kwakweli nimesikitika sana ulivyosema unaumwa malaria for 2 dayz now!May dea may u ponaa haraka ili safari ya mkuranga iweko kama kawa,dont forget to take pills,juice na matunda,ugua haraka haraka na upone polepoleeeeeeeeeeee,Miss u Bujibuji.
Pole sana Buji kwa kuugua!!! Wakati wa kuja Mkuranga please mnicheki pale Kiguza nitakuwa na-move pale
 
pole Bujiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, tunakumiss hapa
 
Kwakweli nimesikitika sana ulivyosema unaumwa malaria for 2 dayz now!May dea may u ponaa haraka ili safari ya mkuranga iweko kama kawa,dont forget to take pills,juice na matunda,ugua haraka haraka na upone polepoleeeeeeeeeeee,Miss u Bujibuji.

Wish him a Quick Recovery natumaini kesho tutakuwa naye. Pole kubwa kwa alivyokuwa addicted na JF sijui kama macho yataweza ona kitu
 
kwani umeambiwa tunaenda kufanya nn?kweli wajinga ndo waliwao,usilo lijua........................
Nyumba za wageni zipo hapa hapa mjini, kwa nini mkafanyie Mkuranga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom