Wanawake mlio kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi

Wanawake mlio kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi

Mathethamathetha

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
152
Reaction score
148
Nimekuwa nikitafakari utofauti uliopo wakati mtu unaolewa na baada ya kukaa na mwenza wako kwa zaidi ya miaka kumi kama kichwa cha habari kinavyosema.

Mimi naona kuna utofauti mkubwa sana, yale mapenzi ya mwanzo yanapungua na hata ukitaka kuyafufua ni kama unajilazimisha.

Na hii iko kwa pande zote mbili yaani mume na mke.

Sasa swali: Hili jambo lipo hivyo au ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom