Wasichana na ushamba wa kuanika makufuli uvunguni

Wasichana na ushamba wa kuanika makufuli uvunguni

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,335
Reaction score
56,106
Kufuli au kyupi inabeba bacteria wengi sana, cha kushangaza kuna dada zetu vyupi vyao vinaanikwa chini ya godoro na kutengeneza kakiwanda ka funus kasikolipa kodi anika vitu adharani vipigwe jua kuua bakteria.
 
mkuu , lazima demu wako atakuwa ni muhanga wa hili jambo.
pole sana, ila ujumbe ume mfikia kokote aliko. Tegemea
kuona mabadiliko yake kuanzia sasa.
 
Kwa dunia ya sasa sijui nadhani kama wapo labda uwataje ha!ha!ha!
 
Anaanika uvunguni wengine chooni mwee ila wengine wakianika juani wanaekea na kanga juuu usione aibu
Yao aibu yetu
 
Anaanika uvunguni wengine chooni mwee ila wengine wakianika juani wanaekea na kanga juuu usione aibu
Yao aibu yetu

mbona kwenye kuuzwa (madukani au kwa machinga)
pichu zinaanikwa nje nje kabisa
hata kipofu akigusa tu anajua kuwa hii ni kitu yenye
urembo rembo wa maeneo adhimu....
 
Hata wanaume wanatabia izo mkuu kuanika boxers ndani
 
kama waona haya kuanika hadharani waweza anika nje ukafunika na kanga nyepesi kwa staha zaidi
 
Mada nyingine zinatia aibu.

Chupi zinabeba bacteria..!!??
 
wangu alikua na hizo swaga nikamchenjia sasa anaanika bafuni kwenye misumari

Labda kama mnaishi eneo lenye watu wengi anaona aibu. Ila hata hapo kwenye misumari si salama. Aanike nje zipigwe na jua kiasi.
 
sasa jamani kuanika nje nako inabidi kiwe kipya mi kuna sehemu nilipita nikakuta kyupi ina nyeupe af imechorwa raman ya afrika sehemu ya mbele kwa chini nlistaajabu sana nikataka nichunguze huyo fundi stadi wa kuchora nikaona sio ishu
 
mbona kwenye kuuzwa (madukani au kwa machinga)
pichu zinaanikwa nje nje kabisa
hata kipofu akigusa tu anajua kuwa hii ni kitu yenye
urembo rembo wa maeneo adhimu....

Ikitumika huwa "inagina" hasa pale katikati hivyo huleta aibu kuanikwa hadharani.
 
Hapa tujadili kama mnavyojua nyumba za kiafrika au uswahilini tz je mnaweza mkaanika vyupi vyenu nje kweupe, je huo ni ustaarabu? Namkumbuka Richard Mambombotela wa idhaa ta kiswahili ya Kenya alikuwa anaponda kweli hilo la kutupia vyupi uwanjani kwenye kamba.
 
Back
Top Bottom