Uongo ni mbaya lakini unaweza kukuoa,

Uongo ni mbaya lakini unaweza kukuoa,

Tetramelyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
4,372
Reaction score
12,479
Ni vigumu sana kwa binadamu wa kawaida kuukwepa aisee...lakini inatokeaga unakuta huna namna inakubidi tu udanganye tu ili uokowe jambo/hali/kitu fulani,

Japo walisema ukweli utakuweka huru...kuna mahala huu msemo unaweza kukuchomesha aisee.

Weka hapa kijistori kuhusu jinsi ulimi wako ulivyokuokoa japo ni kwa namna tofauti .

Karibuni.
 
Unadhani Magufuli angesema kuwa yeye ndo alianguka saini nyumba za serikali watu wangempigia kura.? Au Lowassa angesema yeye ndo alipiga pesa za richmond angepata kura.?

Uongo unasaidia saa zingine
 
Heading ibadilishe ueleweke vizuri we mchoma chips. ila ukwel uongo unasaidia sa hususan kwa watoto wakike lazma utmike
 
Mim uongo ulinisaidia nkapiga euro ndefu sana

thumb up 2 uongo
 
''Uongo unaweza kukuoa'' teh teh sio mm labda ww mleta mada mm uongo nauoa.
 
Back
Top Bottom