Agricola Gerald
Member
- Nov 25, 2015
- 93
- 6
Habari....hiko hivi unakuta binti ana mpenzi wake nae huyo mpenz wake anaishi kwao au kajipangia geto lake..asa binti kapewa chumba cha nje hapo basi inakua kama kapewa uhuru binti anasubiri watu wa familia yake wamelala anampgia simu mpenz wake huyo mpenz wake anakuja analala hapo kwao na binti mpaka asubuhi na mapema huyo mpenzi wake ndo anaondoka,jamani binafsi hii tabia inaniboa sana sijui wengine mnaichukulia vipi?