Ni stori ndefu, naomba isiwachoshe kusoma. Iko hivi:-
Mimi ni mtumishi serikalini. Ni mtu mzima nikiwa na miaka 36. Siku moja nikiwa safarini kwa basi nikitokea Morogoro seat jirani yangu kulikuwa na binti naye akielekea Dar. Ni binti mzuri sana ktk viwango vyote vya uzuri. Sauti, sura, umbo, macho etc. Ni mzuri, ni mzuri ni mzuri sana. Ana umri wa miaka 23
Ktk mazungumzo yetu aliniambia kuwa yeye ni mwanafunzi wa UDSM. Tulipofika Ubungo, kila mmoja akashika njia yake (Hatukubadilishana mawasiliano). Baada ya siku kadhaa nilikutana nae mitaa ya TMJ akienda kupata matibabu. Tukasalimiana na kila mtu akashika hamsini zake (hatukupeana mawasiliano)
Wiki moja baadaye, nikawa nimeenda pale NMB Kariakoo. Nikamuona akiwa amepanga foleni. Nikamfuata na kumgusa begani. Alitoka ktk foleni yake na kuja kunisalimia. Nilimuunganisha na rafiki yangu, mtumishi wa NMB na akafanikiwa kufanya transaction. Siku hiyo, tulibadilishana nae namba za simu na pia nikampa Bussiness Card yangu.
Baada ya kupeana namba, tukawasiliana kwa muda wa kama wiki mbili hivi, akapotea hewani. Nilimtafuta sana nikamkosa. Nilipiga sana simu bila mafanikio. Nilituma sms sana bila mafanikio.
Siku moja nikapata ujumbe ktk SMS kupitia namba ngeni "kaka, mimi (akataja jina lake) wa UDSM. Siku hizi sina simu nilipoteza ktk daladala".
Nilipopata hiyo SMS, nilimpigia na kumuuliza lini anategemea kununua simu nyingine? Akacheka na kusema, kwa muda ule hakuwa na fedha labda mpaka akipata boom. Nilimwambia kama ana nafasi, mida ya Alasiri aje Kariakoo.
Kweli alikuja na nikamnunulia Tecno H6 na rafiki yake nikamnunulia Power Bank.
Tumekuwa tukiwasiliana sana na mwisho tukaingia mapenzini though hatujafanya sex. Majuzi nilimuita hotelini Land Mark akaja chumbani tukazungumza zaidi ya masaa matatu. Nikamvua nguo zote.
Wakati tunataka kuanza kufanya mapenzi, nikapata huruma ya hali ya juu. Nikakumbuka maneno yake kuwa hajawahi kufanya mapenzi na yeyote yule na kama Mungu atajaalia ni furaha yake ikiwa mume wake wa ndoa ndo awe mwanaume wake wa kwanza. Pia nikapata huruma kutokana na historia ya maisha yake kuwa ametoka katika familia masikini sana na yeye ndo familia na ukoo wake unahisi labda atakuwa mkombozi wao.
Nilipata huruma kwa kuwa alinieleza na kwa ushahidi kuwa boom lake amekuwa akiligawa kuwasapoti watu wa familia yake. Baada ya tafakuri ya muda, nikamvalisha nguo zake na nikampa ahadi kuwa kila mwezi nitakuwa namsapoti kwa Tsh 100,000 na pia matumizi mengine madogo kama sabuni, mafuta etc awe ananiambia.
Nimeamua kuwa kaka yake. Nadhani nitainjoi zaidi kuwa kaka kuliko kuwa mpenzi mzinifu.