Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za mchana mabibi na mabwana... Naomba uzoefu wenu kuhusu ufungaji wa vyumba vya kulala hasa kwa wale tunaoishi na madada / makaka wa kazi "Masterbedroom" je tunafunga kwa ajili ya usalama...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ladies and gentlemen i great you all Earlier this month nilipitiwa na shetani, accidentally nikajikuta nimetembea na mama mumoja, a workmate ambaye nilikua nimemupa loan ya six hundred thousand...
0 Reactions
95 Replies
11K Views
  • Closed
BY DAYAN MASINDE Almost everyone who gets married, marries out of love. But why do so many married people end up cheating? It is because they don?t set boundaries. There are nine types of people...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni pale unapodhani Msichana uliyenaye umemnasa na SuperGlue,Hapindui kwako kabisa,unajidai umemuweka kwenye chupa na kwako ni mtakuja Primary School..Unamiss umbua unavyotaka, stress ni part ya...
3 Reactions
82 Replies
9K Views
Naingia jukwaa hili nikiwasilisha hitaji langu la muhimu, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa waanzirishi wa jukwaa hili,wametupafanya tupate pa kusemea. Naamini mke au mume anaweza...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari WanaJF, Wababa wa siku hizi mna matatizo gani?yaani mtu unafikia hatua ya kuwa na mahusiano ya kimapenz na bint yako Hapa mtaan tukio hilo lmetokea mzee ambaye pia ni baloz wa nyumba kumi...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kiukweli nimetokea kumchukia mume wangu, imetokea hata sifa zakua na mimi tena sizioni. Mimi ni mwaminifu mwenzagu malaya, yeye ni kufukuzana tuu na Malaya kila kukicha, leo huyu kesho huyu, ana...
1 Reactions
141 Replies
22K Views
Ni inbox age Kati ya 18 hadi 28
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Kama ikitokea umeachishwa kazi (kibarua kimeota nyasi ) basi siku hiyo hiyo ukirudi nyumbani umwambie? Au ni bora tu uuchune na umchezee filamu ya kaole kwa kujifanya na wewe asubuhi unaenda mjini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna topic kibao za mahusiano, ni kweli mahusino yamekuwa na changamoto nyingi sana katika maisha yetu. kila mtu analalamika na la kwake. Mwingine atakwambia simuamini msichana hata kidogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jumapili waungwana, Kimya kingi kina mshindo mwingi....... iko hivi nataka kuachika...... sababu nimechoka. (vituko vya pombe) Vituko vimezidi nimekuwa nikiongea na tunayazungumza na...
0 Reactions
122 Replies
12K Views
Mapenzi imekuwa kama tuko mbuga za wanyama... Wanaume wanajiona wanawinda na wanawake ndo mawindo yao bila kujua wanawake nao wamechoka kuwindwa, wana magobore mikononi mwao wanawawinda...
11 Reactions
50 Replies
11K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25.Nilikuwa kimasomo nje ya nchi kwa muda mrefu,sasa nimerudi nikiendelea na kazi na biashara hapa Dar.Nimejaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana kadhaa lakini wengi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nimekuja Ifakara jaman,nahitaji compan ya ku enjoy huku,nipo sicial saana,kama mpo mnaweza mka ni inbox,mimi ni mgeni huku PM Ruksa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Like any other areas of life, in order to solve your love life problem, you need to understand the causes. While it could be that there are fundamental aspects that you should improve as an...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Habari wana jf, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24.Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana tena sana. Mimi ndo niliemtoa usichana wake.Nimemaliza masomo yangu ya chuo lakini yeye...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Huko nyuma tulikuwa hatuna migogoro yoyote mimi na my wife wangu to be.Na kusema ukweli kama ilivyo desturi yetu watu wa kabila langu mimi ndio nilikuwa nimeyashika mahusiano yetu,Mchumba wangu...
0 Reactions
87 Replies
11K Views
Habari wadau! Sasa nimeanza kuamini kuwa kuna furaha ya pekee iliyo ndani ya watoto! Ni hivi kuna siku nilienda mahali kwa ajiri ya kupata supu, bahati mbaya au nzuri meza ya jirani alikaa mdada...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari ba ndugu, Wanawake wengi hutukana waume zao/ wapenzi pale wanapo tofautiana tena hata mbele za watu au katika njia mbalimbali za mawasiliano na kusahau kama...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
1.Little girls still falls for looks and swag. 2.Basic bitches falls for money. 3.But a grown woman falls for stability and security.
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…