Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Non-aligned

Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa miaka 25.Nilikuwa kimasomo nje ya nchi kwa muda mrefu,sasa nimerudi nikiendelea na kazi na biashara hapa Dar.Nimejaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana kadhaa lakini wengi wao wamekuwa ni watu wa vibomu na kwa kweli sijaridhika na uaminifu wao.Kwa hiyo nimeamua nitumie njia nyingine ya kupata rafiki wa kike kwenye jukwaa hili la Great thinkers.
Kwa hiyo kwa mwanadada yeyote ambaye ni mwaminifu na anataka kuanza maisha ani private message,ili tuweze kuchukua hatua zaidi.
 
Back
Top Bottom