Habari wana jf,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24.Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana tena sana. Mimi ndo niliemtoa usichana wake.Nimemaliza masomo yangu ya chuo lakini yeye nimemuacha chuoni.
Tatizo linalokuja ni kuwa nina wivu sana tena sana kitu kinachopelekea tuwe tunagombana mara kwa mara.Yaani anaweza akafanya kitu kidogo tu kwa bahati mbaya basi mimi nanuna ata siku 3 yeye mwenzangu anabaki kulia kila siku na kuomba msamaha tu.
Sio kwamba napenda hii hali ya wivu yaani najikutaa nanunaa tu ghafla ata kwa vitu vidogo kuna muda uwa najitahidi niwe ata nachangamka hali iyo ikitokea lakini wapi yani nakua nimenuna tu uzuri ni kua na yeye anaifahamu hiyo tabia yangu na anajitahidigi sana kua makini hakosei lakini akiteleza kidogo tu yani nanuna sanaa nilikua natafuta ufumbuzi wake nikadhani labda kwasababu nimemuweka kichwani sana ndio maana nakua hivo.
Nikajitahidi nitafute ata kimchepuko ilimradi nisiwe naumia pale anapokosea kitu kidogo lakini hali ndo iko hivo, hivi sasa hivi ninavoongea nimenuna sina amani kisa mchana aliingia class bila kunitaharifu narudia tena hali hii mimi mwenyewe siipendii ila inanitokea tu.
Naombeni ushauri ndugu zangu nifanye nini