Yaani ninaamini ya kwamba kila mmoja angekuwa na Uhuru wa kushika simu ya mpenzi/ Mume/ mke, naona ingesaidia kwa 87% kupunguza michepuko, kwani MTU akijua hii simu yangu mke/ Mume wangu anaweza...
Huyu jamaa yangu aliyekuwa anajiita kidume cha mbegu yaani kila akiona kichaka kabanwa. Nilimshauri sana ila ndio sikio la kufa na pia kunizidi umri ikajenga dharau za kusema wewe bado bwanamdogo...
Habari wadau,
Mimi nna mke na mtoto mmoja tupo kwenye ndoa kwa takribani miaka mitatu. Kabla ya ndoa alikua anatoa penzi vizuri tu wakati wowote. Lakini baada ya ndoa amekua anapanga ratiba...
Wewe na mpenzi au mwenza wako mmeachana au kutalikiana kwa wale wenye ndoa sikatai. Hoja yangu ni kwanini umnunie shemeji au wifi yako hadi kutokusalimiana? Je, ni uungwana ama ni halali...
Habari wanajamvi,
Ndugu yenu nimeachwa na mwanamke niliependa, mwanamke wa ndoto zangu, mwanake nilietamani kuwa nae toka niko shule, nimetumia muda, nguvu, pesa na jitihada nyingi kuwa nae...
Sina jinsi nitakua nje ya nchi kwa mwezi huu wote labda mambo yakienda vizuri wakati wa siku kuu nitarudi japo possibility ni ndogo ni safari ya kikazi(sio ya kiserikali) hofu yangu kubwa ni...
Bwana Yesu Asifiwe!
Kama kawaida nikiwa kama mchungaji nimegundua kitu kinachowagharimu vijana wengi walio vyuo vikuu wanapojihusisha na mapenzi na wana chuo wenzao, unakuta wote mnapata mkopo...
Mwaka 2012 nilitokea kumpenda msichana mmoja mrembo alikua nesi yeye, mi niliajiriwa kwenye ofc moja hivi hapa mjini, tulipendana sana mpaka kwao alinitambulisha na kwetu pia nilimtambulisha...
Ukibahatika kwenda Marekani na ukawa na akiba ya viji cent usisahau kutembelea ktk jiji la Las Vegas lililopo ktk jimbo la California huko kuna starehe za kufa mtu,watu wanatumbua noti kama hawana...
Habari zenu wandugu na jamaa......poleni na majukumu. na kwa wale waliopitiwa na operesheni ya kukamua majipu ya MAGUFURI poleni......na kwa wale wazalendo kama mimi kwa hakika nyoyo zetu...
Nimekuwa nikiona wasichana wengi wakifanyiwa kitchen party kwa lengo la kufundwa kwa kizazi cha sasa ambacho wasichana wanapika na kupakua tena wengi wakiishi na wanaume kabla ya ndoa.
Sasa je...
Hakuna salamu hapa!
Moja kwa moja through the point!
Dada zangu mnaachwa kwa kwa ajili ya uzembe wenu na wa kujitakia!
Mme akirudi ndani, vaa kanga tepetepe iliyolowana maji! Kanga moja, au...
Naandika hili kwa huzuni na si kwa nia ya kuamsha hamasa ya kimapenzi. Ninaomba nisimulie visa vya mabinti wawili hawa;
Binti wa leo nimezoeana naye kwa muda mrefu saana. Nilikuwa ninasoma makala...
Mimi ni mwanaume mtu mzima umri wangu ni miaka kati ya 45 na 50 natafuta rafiki mwanamke(kampani) nitakae kwenda nae ktk ukumbi wa Harusi Hapa Dar es salaam siku ya IJUMAA TAREHE 4/11/2015...
Mimi ni msichana wa miaka 28. Nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kijana mwenye umri sawa na wangu. Tulidumu kwa muda wa miezi nane.
Mwanzoni mwa mahusiano yetu, tulipendana sana. Baadae...