appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,932
- 3,249
Hua sipendi kuvaa chupi au singlend, mke wangu hana shida nishamueleza kua sioni umuhimu wa kuvaa zaidi ya joto na vipele vilevile joto likizidi uzalishaji wa mbegu huathirika shida inakuja inakuja nikiwa na show za njee au safari za nje wanawake wanashanga like what it is wengi wanaona ni kituko cha kufungia mwaka au wanaingiza mambo kama ushamba au imani za kishirikina.
Vipi nipo sahihi au naonekana mwanaume toleo jipya.
Vipi nipo sahihi au naonekana mwanaume toleo jipya.