Mshikaji ameoa kahaba tuliekua tunamnunua wote

Mshikaji ameoa kahaba tuliekua tunamnunua wote

dedan kimathi

Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
42
Reaction score
25
Nimeshtuka kugundua kuwa Rafiki ya wakaribu amefunga ndoa na dada poa mmoja tuliekua tumezoea kumnunua kwa nyakati tofauti, huyu jamaa alikua workmate wangu na tulishibana sana, tulipenda sana kwenda temeke kunywa baada ya kazi baa moja maarufu sana kwa madada poa.

Sasa kuna Dada poa mmoja mzuri sana, ameumbika, ni mweupee kama Mwarabu na dizaini kama ana umanga flan hivi kwa mbali, yeye alikua akimchukua leo, mimi namchukua kesho, hii ni kutokana na viwango vya juu mno alivyovionesha binti huyo (nakiri sijawahi kuviona kwingine)

Baadae nikahamishiwa mkoani, Mshikaji akabaki head office, cha ajabu huyu ndugu alinikatia mawasiliano, akaanza kunipotezea, nikawa hadi nimtafute mimi, baadae nikachoka kujipendekeza tukapotezeana, na baadae nikasiki amepata kazi kwingine.

Imepita karibu miaka minne sasa, juzi nimekuja dar kwa siku chache, nikiwa head office mmoja wetu akasema jamani wenye nafasi tukamuone T mwanae alilazwa wiki nzima ndio wametoka Jana, tukakubaliana twende jioni, huku rohoni nikisema kumbe kuna wenzangu bado wanamawasiliano nae!!!

Kuingia ndani kwa Mshikaji jamaa alishtuka kweli hakujua kama nipo kwenye huo msafara, ghafla mkewe anakuja ukumbini na mtoto wa miaka 3 kasoro, nilipigwa na butwaa kuona mke mwenyewe ndio yule dada wa temeke tuliekua tunamnunua kwa kupokezana, yeye mwenyewe alishtuka mno, baada ya salaam alirudi chumbani na hakutoka tena.

Kesho yake, Saturday Mshikaji akanitafuta na kuniomba msamaha kwa kunipotezea, akasema alishindwa ataniambia nn baada kumuoa yule demu, hivyo akaona awe ananikwepa na kubadili namba.

Akanieleza amemuoa kwa ndoa kabisa ya kidini, na kwamba kwa miaka yote minne demu ametulia hajawahi kumsumbua, na Duka nililoliona pale mbele alimfungulia yeye ndio biashara yake, kwa kweli uchu uliniingia sana nikimkumbuka yule dada.

Kumbe dada poa anaweza kabisa kuacha hiyo kazi na kubadilika? Na kuwa mke? Hata hivyo nimeshangaa kwa jamaa ku take risk kama hiyo
na sijui hata kama walipima au walioana tu.
 
mmmmmmmmmmm,mwenyezi mungu atustiri na kila balaa na mitihani ya dunia....
 
Hakuna cha ajabu apo,kila kitu nii maamuzi tuuuh.....kuacha au kuendelea.
 
Sometimes hawa dada poa wakiamua kutulia huwa wanatulia kweli kweli, mpongeze jamaa yako kwa hatua yake ya kumuokoa huyo dada kwny dhahama ya kuuza mwili!
 
Kwahiyo mtoto akalazwa?,waambie wakapime ngoma bana ,aah ama wacha tu.......
 
tafuta mke uoe achana na huo upuuzi utapata ukimwi bure
 
Mbona kawaida tu. Kuna makahaba wengi tu Mtaani sisi tunawaona masista duu na wanaolewa
 
We jamaa Sema huo UCHU ndio umekufanya upagawe ila unajua kwamba dada poa wanaweza kutulia!?
 
Mbona hata huyo uliye muoa kuna jamaa wanakushangaa nao wameshamnunua sana??
 
Pole ndio maisha

Hata wewe kuna tabia unazoachana nazo. Unapojiuliza kama mgonjwa au walipima je wewe ulipima baada na kukuta unao? Pia unaonekana umepata ka wivu fulani kwa kukumbuka mchezo. Na unyamaze usianze kusumulia watu juu ya hilo tukio. Ila wakisoma humu watajua nini kilijili ungenyamaza tu umeandika mengi na sahau urafiki akijisoma humu. Katafute mke wako uoe.

Waombee waishi maisha mema ya ndoa
 
Aisee.......jinsi wanakuwaga na mdomo vile.......na matusi.......
Sipati picha........
 
Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa ni rahisi kuzuia mkondo wa maji kwenye njia yake au hata kuuhamisha safu ya milima mikubwa kuliko kuzuia hisia kali za penzi ya kweli......ni hisia ambazo hata yule anayepambana nazo hajui zimetokea wapi......Ni hisia ambazo zinamtoa muhusika katika ulimwengu wa nyama na mwili na kumuingiza katika ulimwengu wa RAHA zisizo mfanowe.....ni vigumu kupingana na hisia hizi kwani hakuna aliyewahi kuishinda vita hii.....suluhuisho pekee ni kuupa moyo ile kitu roho inataka........Hata jamaa yako alijitahidi kupambana na matakwa ya nafsi yake hatimaye akashindwa na akakubali yaishe.....akaamua kuupa moyo kile inachotaka......ndio maana akirudi katika ulimwengu wa nyama na mwili akawa anajiona mkosaji na mwenye hatia na ndio akawa anakukwepa kwani anajua ni nadra kwa mwenye akili timamu kukubaliana na hali hiyo kwani siyo hali ya kawaida...........THAT IS POWER OF LOVE.....
 
hata huyo ulie nae tushamnunua sana au kwa kua alikua hajiuzi hadharani
 
Yeye kuchukua kabsa ndio unajiuliza kuhusu kupuma mjinga ww
 
Duniani kuna mambo mengi tunajifunza ukiyashangaa hayo ipo siku utayaona magumu zaidi.
Haya yanatokea sana ingawa ni jipya kwako ila sasa jamaa yako kaoa na wewe heshima iwepo kama shemeji tu na si vinginevyo
 
Mwanamke yeyote ambae tayari ana past za mahusiano zaidi ya sita tena akiwa under 28 nachukulia tayar ni malaya. Kwamba anajua wanaume, ana experience na mishidede na at a point she dependend on his men ktk affairs zake. Kudepend upon a man na hali hamjaoana ni umalaya maana unamuuzia papuchi in kind, yaan barter trade. Anakupa hela za kujikimu na ww unampa papuchi ili aendelee kuprovide, same as makahaba wanaojiuza. Maana wanakupa papuchi unalipa hela wakajikimu, so kama hujaoa bikra jua mkeo at some point alikuwa malaya pia.

Inaumaga ukiiwaza hii point ila ndio hivo kubali and move on maana ktk dunia ya sasa almost kila mtu ni kahaba. Swala ni bora ujue kama kwa upande wa rafiki ako ili moyo na akili viridhie mapema kuliko uingie ndoani hafu ndio ujue mkeo ana msururu wa ex lovers ambao wanajaza zile gari za kichina za mbagala
 
we all got stories yeah..back in our closets....by the way naamini tumetofautiana tu katika kuoa hawa malaya na kahabaz.....tofauti ni kuwa kama mkeo uliyemuoa sio bikira basi alikuwa malaya wa fulani usiyemfahamu. na mbaya zaidi wapo wake zetu wameshatumika pengine kuliko hao malaya wanaojiuza wapate kiasi cha kujikimu.

but again....nani asiyeelewa experience matters?...jamaa yako alifuata uzoefu kwa huyo kahaba...a born again wife material..ahahahaha. sijioni nikiwa na muda wa kumfundisha mke mambo na maujanja ya kwenye sita kwa sita...anatakiwa mke awe experienced enoygh kuingia kitandani na kukata kiu ya mapenzi ya mume from the way go.

pata picha wewe dushe limesimama mpaka linauma kisha mwanamke haelewei afanyeje...hata jinsi ya kulishika hawezi anaogopa na vilio mara nitaumia mara ohhh...kwendraaaa. achana na kina maguli na ulimboka sijui ngassa...kamata messi au ronaldo weka ndani timu iendelee na ushindi mfululizo.
 
Back
Top Bottom