machangudoa na wanaojiuza tumewashtukia

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
169
wanajf na watanzania kwa ujumla nawakumbusha kale ka mchezo wa madada zetu wanaojiuza, wanapaka dawa knye maziwa ukinyonya kidogo tu kwisha habari yako atakusasambua kila kitu hadi chupi wanabeba, utalala usingizi masaa manne hadi sita.
sasa kwa wale ambao wanapenda hiyo huduma tafadhali usinyonye maziwa wala kitovu cha changudoa au hawara kuokoa fedha na mali zako.
 
Sasa kwa wale ambao wanapenda hiyo huduma tafadhali usinyonye maziwa wala kitovu cha changudoa au hawara kuokoa fedha na mali zako.

mh,makubwa!
 
wanajf na watanzania kwa ujumla nawakumbusha kale ka mchezo wa madada zetu wanaojiuza, wanapaka dawa knye maziwa ukinyonya kidogo tu kwisha habari yako atakusasambua kila kitu hadi chupi wanabeba, utalala usingizi masaa manne hadi sita.
sasa kwa wale ambao wanapenda hiyo huduma tafadhali usinyonye maziwa wala kitovu cha changudoa au hawara kuokoa fedha na mali zako.

ucnikumbushe hii k2 mkuu jamaa yangu alilizwa kinondoni hamu yote ilikwisha mana alitaka kuonyesha ufundi wa kunyonya kilichompata atosahau ila anakumbuka wakati anaanza demu anajifanya mzuka unapanda kishenzi jamaa akaongeza ufundi kumbe anajikaanga alisachiwa kila k2 mpaka nauli cm bahati nzuri no yangu alikuwanayo kichwani ndo msaada wake hapo nikamfata
 
hahahaha...inatubidi tupate huduma moja tu muhumu..nyingine tuziache inaonyesha zitatia aibu pale usipotegemea....
 
ucnikumbushe hii k2 mkuu jamaa yangu alilizwa kinondoni hamu yote ilikwisha mana alitaka kuonyesha ufundi wa kunyonya kilichompata atosahau ila anakumbuka wakati anaanza demu anajifanya mzuka unapanda kishenzi jamaa akaongeza ufundi kumbe anajikaanga alisachiwa kila k2 mpaka nauli cm bahati nzuri no yangu alikuwanayo kichwani ndo msaada wake hapo nikamfata

kuna jamaa yangu juzi ilimkuta alibeba maeneo ya kona bar! alibakiwa na chupi yule meneja wa gest akampa pensi na yeboyebo akatoka kifua wazi kama vile katoka mazoezini
 
hivi huyu muhusika aliyekufanyia hivyo ukikutana nae next time utalianzisha au utachuna tu....?
 
Kwani mnaowachukua hao changu
hamuogi kwanza kabla ya ku do

maana nijuavo akioga hiyo mi dawa kwisha kazi
 
ucnikumbushe hii k2 mkuu jamaa yangu alilizwa kinondoni hamu yote ilikwisha mana alitaka kuonyesha ufundi wa kunyonya kilichompata atosahau ila anakumbuka wakati anaanza demu anajifanya mzuka unapanda kishenzi jamaa akaongeza ufundi kumbe anajikaanga alisachiwa kila k2 mpaka nauli cm bahati nzuri no yangu alikuwanayo kichwani ndo msaada wake hapo nikamfata

kuna umuhimu hapa wa kumeza namba ya rafik zangu kichwani kwa sababu mimi mtu kuniambia niache kunyonya ni kama vile hukumu ya dowans halimu awe rostam halafu nyie muwe mnategemea kushinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom