Habari zenu wana jukwaa na wakubwa shikamoo kwenu,
Ni mtu wangu wa karibu sana ni binti mwenye miaka 26 tatizo lake kuu alipima HIV mwaka 2012 akakuta positive lakini kajitunza hadi leo hii CD4 zipo juu hatumii dawa kabisa zaidi ya seprine tu.
Sasa hofu yake je ataweza kuolewa kweli ktk hii hali na je mume atampata vipi? Kwani atamjuaje aliye positive coz aliye negative si rahisi kumuoa kiukweli.
Mawazo yenu wakuu muhimu sana