Wanawake: Tunakereka sana na zile skin tight zenu

jean phillipe beyun

Senior Member
May 18, 2015
142
167
Miaka kadhaa nyuma iliingia fashion ya wanawake kuvaa skin tight kwa ndani, yaani anaanza kufuli, then hiyo skin tight, then ndipo linakuja gauni au suruali, sizungumzii tight maarufu zinazofika miguuni zivaliwazo na akina dada wengi kwa sasa, nazungumzia zile fupi zinazoishia mapajani, wamachinga wanaziuza sana.

Sasa nimeshangaa nina wiki moja hapa Mwanza kikazi ila nimeshtuka kuwaona akina dada wengi hapa wakiwa wamevaa hizo skin tight za kizamani ambazo zina taswira mbaya maana michirizi yake inaonekana hata mtu akivaa suruali hasa kule mapajani kulikopindwa na kuondoa urembo wa mwanamke na kuonekana untied.

Wengine akiwa amevaa skirt, kimini au gauni akikaa nguo Mara nyingi hupanda juu, sasa cha kwanza kuona ni hilo li skin tight likijitokeza, sasa napenda kuwauliza hilo li tight la ndani kazi yake ni nini hasa? Maana kufuli umevaa, gauni/suruali umevaa sasa hilo vazi la nn tena? Au ni ushamba?

Wenzenu wa Dar wameendelea sana unakuta sista duu wa nguvu amepigilia pamba zake jeans moja matata sana akiinama kwenye dala dala unaona lile kufuli la kamba limejitokeza murua kabisa, mtu unauona uumbaji kupitia mwanamke.

Mwanamke unarundika manguo mwilini kama vile unaenda kupanda mt Kilimanjaro, halafu kila siku unalalamika UTI hazikuachi.

Sasa basi natoa rai kwa wanawake wote nchini hasa wa Mwanza ambako nimeliona hilo tatizo kuacha Mara moja
Pia ni usumbufu mkubwa wakati wa kuvua, kumbe ndio maana wengine ukienda nao Nakivubo stadium anakimbilia kuvulia bafuni.
 
Miaka kadhaa nyuma iliingia fashion ya wanawake kuvaa skin tight kwa ndani, yaani anaanza kufuli, then hiyo skin tight, then ndipo linakuja gauni au suruali, singumzii tight maarufu zinazofika miguuni zivalizo na akina Dada wengi kwa sasa, nazungumzia zile fupi zinazoishia mapajani, wamachinga wanaziuza sana

Sasa nimeshangaa Nina wiki moja hapa mwanza kikazi ila nimeshtuka kuwaona akina Dada wengi hapa wakiwa wamevaa hizo skin tight za kizamani ambazo zina taswira mbaya maana michirizi yake inaonekana hata mtu akivaa suruali hasa kule mapajani kulikopindwa na kuondoa urembo wa mwanamke na kuonekana untied

Wengine akiwa amevaa skirt, kimini au gauni akikaa nguo Mara nyingi hupanda juu, sasa cha kwanza kuona ni hilo li skin tight likijitokeza, sasa napenda kuwauliza hilo li tight la ndani kazi yake ni nini hasa? Maana kufuli umevaa, gauni/suruali umevaa sasa hilo vazi la nn tena? Au ni ushamba?

Wenzenu wa dar wameendelea sana unakuta sista duu wa nguvu amepigilia pamba zake jeans moja matata sana akiinama kwenye dala dala unaona lile kufuli la kamba limejitokeza murua kabisa, mtu unauona uumbaji na ukuu wa mungu kupitia mwanamke bila hata kuhubiriwa na wachungaji

Mwanamke unarundika manguo mwilini kama vile unaenda kupanda mt kilimanjaro, halaf kila siku unalalamika UTI hazikuachi
Sasa Basi natoa rai kwa wanawake wote nchini hasa wa Mwanza ambako nimeliona hilo tatizo kuacha Mara moja
Pia ni usumbufu mkubwa wakati wa kuvua, kumbe ndio maana wengine ukinda nao nakivubo stadium anakimbilia kuvulia bafuni

Weka picture
 
Miaka kadhaa nyuma iliingia fashion ya wanawake kuvaa skin tight kwa ndani, yaani anaanza kufuli, then hiyo skin tight, then ndipo linakuja gauni au suruali, sizungumzii tight maarufu zinazofika miguuni zivaliwazo na akina dada wengi kwa sasa, nazungumzia zile fupi zinazoishia mapajani, wamachinga wanaziuza sana.

Sasa nimeshangaa nina wiki moja hapa Mwanza kikazi ila nimeshtuka kuwaona akina dada wengi hapa wakiwa wamevaa hizo skin tight za kizamani ambazo zina taswira mbaya maana michirizi yake inaonekana hata mtu akivaa suruali hasa kule mapajani kulikopindwa na kuondoa urembo wa mwanamke na kuonekana untied.

Wengine akiwa amevaa skirt, kimini au gauni akikaa nguo Mara nyingi hupanda juu, sasa cha kwanza kuona ni hilo li skin tight likijitokeza, sasa napenda kuwauliza hilo li tight la ndani kazi yake ni nini hasa? Maana kufuli umevaa, gauni/suruali umevaa sasa hilo vazi la nn tena? Au ni ushamba?

Wenzenu wa Dar wameendelea sana unakuta sista duu wa nguvu amepigilia pamba zake jeans moja matata sana akiinama kwenye dala dala unaona lile kufuli la kamba limejitokeza murua kabisa, mtu unauona uumbaji kupitia mwanamke.

Mwanamke unarundika manguo mwilini kama vile unaenda kupanda mt Kilimanjaro, halafu kila siku unalalamika UTI hazikuachi.

Sasa basi natoa rai kwa wanawake wote nchini hasa wa Mwanza ambako nimeliona hilo tatizo kuacha Mara moja
Pia ni usumbufu mkubwa wakati wa kuvua, kumbe ndio maana wengine ukienda nao Nakivubo stadium anakimbilia kuvulia bafuni.

Yaani unadiriki kumuhusisha Mungu muumba wa mbingu na nchi
na kile kimstari cha kati kati cha kwenye chupi ya demu ...?
Hivi watu kama ninyi tukisema kuwa ni "vichaaa " tutakuwa
tumewakosea...?

Mkuu ungekuwa ni frashi yangu hapa , hakika ningeku fomati kabisa.
Ushindwe na ulegeee kabisa kumuhusisha Muumba na huo ushen.zi
wako.
 
Yaani hawa dada zetu wana kazi ,juzi hapa waliitwa incubator leo tena skin tight wanakimbilia kuvua bafuni
 
Naitisha mgomo kupinga kauri hii wadada wa mwanza mlioko jiefu humu njooni hapa kwanza tumfunze adabu arudi daslam na adabu. Loh tuache tuvae daslamu na mijoto, kwetu baridiii mutuwacheeee!

Yaani umekura sato wetu ukashiba ukaja kutuanika hapa. Una bahati sijakukamata.
 
Me ndio mana hua nakemea mambo ya kuwachambua sana wanawake, maana ww mtoa mada umemzungumzia 'sista duu wa Mwanza'
Lakin jua na mama ako na bibi ako wanavaa hvy hvy,
(chupi, skin tight, gagulo, sketi, kitenge na kitenge tena)

Sasa jiulize na wao UTI imewakosa???
 
sijaisoma sredi ila mimi bf wangu alishaniomba nisiwe navaa skini tight in case tunamtoko ambao unaweza kuishia kufunuana.
amekuwa akilalamika he just want to see my ngozi yangu and not kitambaa
 
  • Thanks
Reactions: Art
ha ha ha ha waache wenzio wafiche mali zao..... unajua huwezi kutafuta kitu unachokiona .. ila unatafuta usichokiona sasa utamu wa papuchi kuifukunyua ilipo.. ha haha mie sipo
 
Sasa sisi wadada wa Mwanza kwa ujumla tunasema hatuachi....subiri ukirudi dar ukawachungulie hao hao
Wasukuma wetu wametudondokea kama tulivyo...

Hajui huyo, muulize ile style yenu ya kujisaidia vichochoroni na kwenye mifuko ya plastiki na kwenda kuitupa anaijua?
 
ha ha ha ha waache wenzio wafiche mali zao..... unajua huwezi kutafuta kitu unachokiona .. ila unatafuta usichokiona sasa utamu wa papuchi kuifukunyua ilipo.. ha haha mie sipo

Unakuta mdada mzuri amevaa skirt safi ina mpasuo wa kawaida kwa nyuma, lakini ajabu unakuta amevaa mktaiti mreefu km kaptula, uzuri wa tight isionekane ukiivaa bwana!

Ingawa najua miss chagga ni classic girl hauko hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Hapa sasa naona tumezidi kujishughulisha....Binafsi nitapata shida kwa mambo ya Bibi tu...

Na kwa vile nilishajistaafia hiyo inanitosha.....
 
Sasa sisi wadada wa Mwanza kwa ujumla tunasema hatuachi....subiri ukirudi dar ukawachungulie hao hao
Wasukuma wetu wametudondokea kama tulivyo...

Naitisha mgomo kupinga kauri hii wadada wa mwanza mlioko jiefu humu njooni hapa kwanza tumfunze adabu arudi daslam na adabu. Loh tuache tuvae daslamu na mijoto, kwetu baridiii mutuwacheeee!

Yaani umekura sato wetu ukashiba ukaja kutuanika hapa. Una bahati sijakukamata.

Awaache na mashikolo yenu. Kwanza nchi yenu usawa huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom