HAKUNA mtu aliyeamini anachokiona mbele yake, kila aliyepita njia alitikisa kichwa na wengine kuangusha machozi. Polisi kutoka kituo cha kati cha Nairobi walikuwa hapo mbele ya kanisa hilo kubwa...
Hali sio nzuri mtaani, simu zinazoingia ni za mizinga tupu, ukimpigia tu simu mdada mnayefahamiana ndo kama tiketi ya kukuomba hela, michepuko mingine inazidi kufanya booking sasa naachaje njia...
Ni muda umepita nilikuja Benki kwenu kutoa Pesa kwa Western union (Hata hivyo sikufanikiwa) ukaniomba kitambulisho ikabidi nikupe Passport yangu. Leo nilitakiwa ku submitt Passport yangu...
Ndio nakua babu rasmi nime change sana wakuu naisi tv na mitadao kama JF vinachangia screen zinazeesha sana nina mindita na mijicho red.Naacha rasmi u JF kurudisha nuru TV simu nazo najipunguza...
Hodi jamvini
Naomba ushauri wenu juu ya yatokanayo na mapenzi katika jamii yetu.
Juzi nilikuwa na wakati mgumu baada ya rafiki yangu wa karibu kuniletea nakala ya usia wa ?mali zake?. Yeye ni...
Mi na mke wangu tulikubaliana tuwe na watoto wawili. Na tayari tumeshabarikiwa kupata hao kwa kadiri ya makubaliano ndo mwisho wa kuzaa. Lakini kila nikiwaangalia watoto wangu wawili napata shauku...
Kuna idadi kubwa ya wanaume tumekuwa kama tumeshikwa akili na wanawake/mademu maana maisha yanatupiga ila demu akiomba kitu uko radhi kuiba ili yeye afurahi,mtu anamnunulia simu au nyumba mwanamke...
SIMULIZI: NANI TUNAPENDANA?
MTUNZI: RICHARD ERASTO ONYANGO
SIMU: 0719 879608
******PATA UHONDO****
?Katika kitu ambacho sikukitegemea katika maisha yangu ni kukutana
na changamato ambazo...
Steve jobs? Last Words -
I reached the pinnacle of success in the business world.
In others? eyes, my life is an epitome of success.
However, aside from work, I have little joy. In the end...
Ilikuwa ngumu kuelewa jinsi inavyokuwa pale unapoondokewa na yule unayempenda. Mama, wewe ulikuwa ni zaidi ya mama kwangu, ulikuwa ni mpenzi wangu wa dhati, uliyenipenda kwa moyo wako wote...
Habari zenu wana MMU....
Naomba moja kwa moja kuwasilisha mada/tatizo langu ingawa ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri huku ila ni mfuatiliaji mzur sana...
Unawezaje kumsaidia mtu aachane na...
Naombeni mawazo yenu,
Ninamzazi mwenzangu tumezaa nae mtoto 1 mwanzo tulipanga kuoana ila mambo yakageuka ni story ndefu lakini kuna hili huwa tunaishi mikoa tofauti lakini ninamiezi 3 nipo...
Alikua mpenzi wangu akinipenda kwa dhati baada ya kupoteana kwa mda wa miaka 3 bila kuonana uso kwa uso alikua akinipgia simu tukiongea kama kawaida lakini siku moja aliwahi npigia simu na...
Nimekaa na baba yangu kwa miaka 19, lakini kumbe ni baba mlezi, hiyo imekuja baada ya baba ya halisi kujitokeza nikiwa form 'vi' nakunileza kila kitu kunihusu, ila tatizo mama hajaniambia chochote...
Habari Wana Jf mimi ni mama nina miaka 36 sasa niliolewa mwaka 2012 lkn baada ya miezi Mitatu mume wangu akifariki. Tokea hapo cna furaha endelevu nikicheka asbh jioni nitalia nikifurahi leo...
Habari zeni wanajamii forum?
Leo nimekumbuka tukio lililotokea miaka mitatu iliyopita. binafsi napenda kulielezea ili hata baadhi wajifunze kupitia kwangu wasije wakafanya makosa niliyofanya...
Habari wanajukwaa hili,
Love is all about feelings na watu wengi wamekua wakijifunza mengi kwa kusikiliza kazi za wasanii mbalimbali je wewe kijana wa JamiiForum umetafakari nini uliposikiliza...
Niko na mpangaji mwenzangu tangia tujuane yapata mwezi tena kwenye nyumba hiyo, ila cha kusikitisha anaishi na mwenzi wake kama vile hana mke ona hii mwanamke huyo mume wake anafagia nyumba yeye...