Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,689
- 11,276
Mi na mke wangu tulikubaliana tuwe na watoto wawili. Na tayari tumeshabarikiwa kupata hao kwa kadiri ya makubaliano ndo mwisho wa kuzaa. Lakini kila nikiwaangalia watoto wangu wawili napata shauku ya kuongeza wengine.
Watoto wangu nawapenda watoto wangu wapo vizuri kiasi kwamba napata faraja kuwa nao. Kama ningekuwa nao kumi hivi nadhani ningekuwa na furaha zaidi. Sasa kwa vile mke wangu hataki tena kuzaa nimekata shauri la kutimiza ndoto yangu ya kuwa na watoto kumi (bado nane)
Nakaribisha mdada yeyote ambaye anapenda kuwa na mtoto au watoto tufanye makubaliano ili niweze kufanikisha lengo langu. Dini au kabila sio kigezo sana. Ili mradi tu uwe na uwezo wa kuzaa.
Nafasi zipo wazi.