Unawezaje kumsaidia mtu aachane na tabia ya ubinafsi

Unawezaje kumsaidia mtu aachane na tabia ya ubinafsi

Qurie

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
3,645
Reaction score
3,890
Habari zenu wana MMU....
Naomba moja kwa moja kuwasilisha mada/tatizo langu ingawa ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri huku ila ni mfuatiliaji mzur sana...
Unawezaje kumsaidia mtu aachane na tabia ya ubinafsi ingawa yeye hajijui kama ni mbinafsi maoni yako ni muhimu tafadhali
 
Kuwa mbinafsi kama yeye

Mara nyingi inatokea mtu mbinafsi kwenye mambo yake ila yako anataka kushare
 
Hakuna mbinafsi asie jijua anajitoa fahamu tu. Mimi wale rafiki wanafiki (wabinafsi) wote sina mpango nao kuna wengine utasikia story zao kwa watu wengine. Lakini wewe hakupi kwasababu anakuona mwanga tu.
 
Huwezi kumbadilisha mtu mbinafsi kwa sababu huanzia kwenye familia aliyokuzwa nayo. Kwa hiyo ishakuwa tabia kwake.
 
Hakuna namna ya kuondoa tabia ya ubinafsi kwa mtu hata kama mumezaliwa na mama mmoja. Kama ni mpenzi wako pole sana muombee tu.
 
kuwa mbinafsi kama yeye

mara nyingi inatokea mtu mbinafsi kwenye mambo yake ila yako anataka kushare

xax mtu kama huyo utamsaidiaje il aachane na ubinafsi
 
hakuna namna ya kuondoa tabia ya ubinafsi kwa mtu hata kama mumezaliwa na mama mmoja. Kama ni mpenzi wako pole sana muombee tu.

duh oky asante kwa pole
 
huwezi kumbadilisha mtu mbinafsi kwa sababu huanzia kwenye familia aliyokuzwa nayo. Kwa hiyo ishakuwa tabia kwake.

xo tabia ya ubinafsi haina tiba cyo
 
Ww ni mtoaji? Mana wanawake wengi kwenye mahusiano/ndoa ni wabinafsi halafu wanaamini kupewa ni haki yao
 
Muda mwingine mtu anakua nayo tangu utotoni ngumu kuacha
 
Mpe makavu live, mpe ukweli wake ajijue ( Mwambie wewe ni Mbinafsi nausipoangalia na kubadilika ubinafsi wako utakukost), kuliko kukaa na kihoro moyoni...ukweli umuweka mtu huru..
 
mie me wangu ni mbinafsi nikavumila sana mwanzoni baadae ikabidi nimwambie ukweli wewe ni mbinafsi maana ilifikia hatua hata ndugu zangu hawapendi namshukuru mungu kwa kiasi fulani kabadilika
 
ww ni mtoaji? Mana wanawake wengi kwenye mahusiano/ndoa ni wabinafsi halafu wanaamini kupewa ni haki yao

yaani huyu sio kwenye mahusiano tu ni mpaka kwa ndugu zake anaonyesha ubinafsi nataman sana nimsaidie aachane na tabia hii cjui ntamsaidiaje
 
mie me wangu ni mbinafsi nikavumila sana mwanzoni baadae ikabidi nimwambie ukweli wewe ni mbinafsi maana ilifikia hatua hata ndugu zangu hawapendi namshukuru mungu kwa kiasi fulani kabadilika

tafadhali niambie ilkuaje ukamsaidia akapunguza ako katabia kabaya
 
Back
Top Bottom