Wanawake na story za kujiua

Wanawake na story za kujiua

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,941
Reaction score
3,964
Najua wengi imeshawatokea. Unakuta upo na demu/mkeo/mchepuko halafu siku ukimuambia muachane kwa sababu flani labda umeona hampo compatible au kwa sababu yoyote ile unapigwa vitisho vya mtoto wa watu kujiua(kunywa sumu ya panya,mavidonge au kujichoma kisu n.k). Na wengine wanakua wako serious usipomtuliza ndo basi tena keshapotea. Hivi hii kitu inakuaje?? Kwani ni lazima kulazimisha penzi?? Kwani ulizaliwa na huyo mwanaume?? Kuna maisha baada ya kuachana, haka katabia ka kutishia kujiua mimi sikapendi kabisa,yani nikisikia tu mtu ananiambia hivyo nawaza mara mbili mbili kabla ya kufanya tukio.
 
Mkuu hawa viumbe waajabu sana..mimi kuna mmoja umenibidi tu niwe mpole mana nimefanya kila visa ili tuachane lakini wapi..kama majaribio ya kujiua kafanya si chini ya mara tatu.

Ila nilichokuja kugundua huyu mwanamke alikosa hitaji lake maalum hasa pale kati..mana yeye niwa dsm mimi wa mkoani huku kwa wasukuma..kweli alikua nampa ile kitu roho inapenda mpaka alidata balaa.

ushauri:wanaume wa dsm punguzeni chips yai wanawake zenu wanatusumbua sisi wa mikoani baada ya kuwakonga nyoyo zao kwa michapo ya maana.
 
wanaume wa dar hawaelewagi hii kitu masikio ya na akili za wanawake zipo hapo kwa papuchi ukiikuna kama nazi ukaondoa kokwa lote jeupe utapendwa
mimi nashangaa nilipewaga hela 900k nikalipa ada na iliyobaki nikala nikawa na mimi naitafutia mademu wengine

hapo chini hapo kwenye KIBUBU ata iliwezekana kula na kachumbari na chumvi utatafutwa kama pesa
 
Aisee hii iliwahi nitokea mpaka nikaomba ushauri humu jf kwa mara ya kwanza. Lakini mwisho wa siku huwa tu ni geresha ili usimwache kwani anakuwa yuko so desperate ila kwako moyo unakuwa unataka kubadilisha gia angani!!!!
 
Mkuu hawa viumbe waajabu sana..mimi kuna mmoja umenibidi tu niwe mpole mana nimefanya kila visa ili tuachane lakini wapi..kama majaribio ya kujiua kafanya si chini ya mara tatu.

Ila nilichokuja kugundua huyu mwanamke alikosa hitaji lake maalum hasa pale kati..mana yeye niwa dsm mimi wa mkoani huku kwa wasukuma..kweli alikua nampa ile kitu roho inapenda mpaka alidata balaa.

ushauri:wanaume wa dsm punguzeni chips yai wanawake zenu wanatusumbua sisi wa mikoani baada ya kuwakonga nyoyo zao kwa michapo ya maana.
Sasa ulikuja kumuacha baadae??
 
Aisee hii iliwahi nitokea mpaka nikaomba ushauri humu jf kwa mara ya kwanza. Lakini mwisho wa siku huwa tu ni geresha ili usimwache kwani anakuwa yuko so desperate ila kwako moyo unakuwa unataka kubadilisha gia angani!!!!
Ikawaje mkuu...Mlifikia wapi??
 
Najua wengi imeshawatokea. Unakuta upo na demu/mkeo/mchepuko halafu siku ukimuambia muachane kwa sababu flani labda umeona hampo compatible au kwa sababu yoyote ile unapigwa vitisho vya mtoto wa watu kujiua(kunywa sumu ya panya,mavidonge au kujichoma kisu n.k). Na wengine wanakua wako serious usipomtuliza ndo basi tena keshapotea. Hivi hii kitu inakuaje?? Kwani ni lazima kulazimisha penzi?? Kwani ulizaliwa na huyo mwanaume?? Kuna maisha baada ya kuachana, haka katabia ka kutishia kujiua mimi sikapendi kabisa,yani nikisikia tu mtu ananiambia hivyo nawaza mara mbili mbili kabla ya kufanya tukio.
Yaani hao nao! Mi nafikiriaga eti nijiue kisa mwanaume! Kwa nianza tu kujiua akati sijui naelekea wapi huko nnapoenda... Afu nikifikiriaga nyama tu nashinda ata kuimagine kuziacha [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bora wewe unajielewa..Washauri wenzako
 
Sasa si ungeniacha tu, nilikwambia ukitaka niache sio kuja kujisemesha huku jamani!
 
Mkuu hawa viumbe waajabu sana..mimi kuna mmoja umenibidi tu niwe mpole mana nimefanya kila visa ili tuachane lakini wapi..kama majaribio ya kujiua kafanya si chini ya mara tatu.

Ila nilichokuja kugundua huyu mwanamke alikosa hitaji lake maalum hasa pale kati..mana yeye niwa dsm mimi wa mkoani huku kwa wasukuma..kweli alikua nampa ile kitu roho inapenda mpaka alidata balaa.

ushauri:wanaume wa dsm punguzeni chips yai wanawake zenu wanatusumbua sisi wa mikoani baada ya kuwakonga nyoyo zao kwa michapo ya maana.
Wasukuma kwa sifa tu mmebarikiwa
 
hakuna kujiua wala nini sema anaogopa kuzikosa pesa zako, atafulia ukimuacha
 
Mtu yoyote awe ndugu au mke akitishia kujiua kwanza ninamtizama kama yupo nomo yani haugui malaria hasa iliyopanda kichwani, baada ya hapo najaribu kuangalia kisababishi kingine cha yeye kutaka kujiua, nikigundua ni upuuzi, hata hiyo sumu nitamuelekaza akakope duka gani nitailipa baadae.
 
Najua wengi imeshawatokea. Unakuta upo na demu/mkeo/mchepuko halafu siku ukimuambia muachane kwa sababu flani labda umeona hampo compatible au kwa sababu yoyote ile unapigwa vitisho vya mtoto wa watu kujiua(kunywa sumu ya panya,mavidonge au kujichoma kisu n.k). Na wengine wanakua wako serious usipomtuliza ndo basi tena keshapotea. Hivi hii kitu inakuaje?? Kwani ni lazima kulazimisha penzi?? Kwani ulizaliwa na huyo mwanaume?? Kuna maisha baada ya kuachana, haka katabia ka kutishia kujiua mimi sikapendi kabisa,yani nikisikia tu mtu ananiambia hivyo nawaza mara mbili mbili kabla ya kufanya tukio.
Tena usiombe akawa na jina la suzy...hawa huwa wanajinyonga kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom