Kiwango cha elimu kina umuhimu wowote kwenye mahusiano?

Kiwango cha elimu kina umuhimu wowote kwenye mahusiano?

essiey

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
57
Reaction score
46
Kiwango cha elimu katika mahusiano ni muhimu?
Mfano mdada aliesoma had I chuo kikuu na mkaka was darasa la saba
Lakini huyu mkaka amejiendeleza kimaisha kwa bidii yake katika biashara zake
 
Kiwango cha elimu siyo muhimu kwenye mahusiano. Kiwango cha elimu ni tofauti sana na kiwango cha uelewa(intellegence) wa mtu. Kuna mtu anashule ndogo ila akili kubwa na anafanya mambo mazuri.Tatizo ni kwamba mwenye elimu ndogo huwa anaover-estimate uwezo wa mwenye elimu kubwa, anadhani kwakuwa mwenzie kasoma basi ni next level, matokeo yake anakosa kujiamini.Kikubwa ni uelewa tu.
 
Kiwango cha elimu katika mahusiano ni muhimu?
Mfano mdada aliesoma had I chuo kikuu na mkaka was darasa la saba
Lakini huyu mkaka amejiendeleza kimaisha kwa bidii yake katika biashara zake

PICHA KWANZA TAFADHALI.
 
Pesa ndo muhimu zaidi. Mwanaume inapbidi awe na pesa kumzidi mwanamke. Kwa mfano askari polisi aliyeishia kidato cha nne na kufeli ni tabu kuolewa na mwalimu ambaye ana shahada kwa sababu mapato anayoyapata huyo askar( mshaara + posho) ni makubwa kuzidi ya mwalimu.
 
Kaka umetisha ukweli mtupu japo watu wanakuaga wagumu kuamini, wanasema polisi, Magereza, fire, uhamiaji, jwtz wanalipwa 200000 kwa mwezi, acha wajidanganye wakati jumla ya allowances zake zote ni zaidi ya lk 2, kama tu ration wanalipwa 300000 , he vitu vingine?
 
Me kwangu kigezo cha elimu ni muhmu,siwez kuwa na mahusiano na mtu ambae hana walau kadiploma.
 
Siku hizi mambo ya viwango kila pahala mnaanzia elimu mara kipato mara kabila mara mwanaume au mwanamke ananuka mdomo mwisho mnahitimisha kwa vibamia na mabwawa
 
Back
Top Bottom