El nino jr
Member
- Aug 7, 2014
- 66
- 24
Kweli acha kazi uone ugumu wa kupata kazi.Huu msemo nilidhani unamaanisha kazi ya kufanya tu labda,sasa nimeacha kampenzi kangu naona ugumu wa kupata mwingine.
Kila ninapogusa naambiwa labda niwe natokea benchi, na mimi napenda kuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza sasa(Yani kuwa spea tyre duuh!)
Kila ninapogusa naambiwa labda niwe natokea benchi, na mimi napenda kuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza sasa(Yani kuwa spea tyre duuh!)