Kuna rafiki yangu ni mkurya, kaja analalama saaana ana mchumba anataka kumuoa. Sasa shida inakuja huyo binti yeye sio mkurya, sasa wazazi wa kijana wamemkomalia jamaaa atafute mchumba wa kikurya aoe maaana ni mke wa kwanza. Afu kama anataka kuoa mke wa pili ruksa kuoa kabila yeyote. Sasa mimi nimeshndwa kuelewa concept hili limekaaje? Hivi dunia ya leo kuna ubaguzi wa namna hii kwa hawa ndugu zetu?