IT PROFESSIONAL
JF-Expert Member
- Mar 17, 2016
- 228
- 95
Wakuu,Wahenga walisema,"ukistaajabu ya Musa ,Utayaona ya firauni",
Takribani wiki imepita sasa nilipata meseji kwenye simu yangu kutoka kwa mtu nisiyemfahamu,' I love you so much'.
Sikujibu chochote siku ya pili nikapata ujumbe mwingine unaosema nimekumiss kwenye namba ileile, mh hapo nikaaza kushangaa kulikoni mtu nisiyemfahamu anitumie SMS kama zile?
Basi nikaaza kufanya kazi yangu ya intelijensia kujua ni nani huyu na ana nia gani kwa meseji zile.
Baadae nikaamua kupanda hewani ,alipokea Binti mmoja aliyejitambulisha na kutaka appointment na Mimi Siku iliyofuata.
Basi nilikubali na tuliweza kuonana siku iliyofuata.Baada ya kumsikiliza alieleza kwamba ananitaka .
Wakuu naombeni ushauri wenu kwa sababu najaribu kujiuliza kibinti kidogo kama hiki kimepata wapi ujasili wa kuyaeleza haya aliyonieleza?