Habari za usiku wanajamvi.ni muda niliadimika hapa jamvin kutokana na malezi na kazi ya kulijenga taifa.
Duh kweli time heals nimeamini.Imepita miezi 6 toka nimfume mzazi mwenzangu na mwanamke mwingine.
Kwelli niliumia na nilikuwa namwombea mabaya yamkute kwani alinicheat.iliniumiza kugundua kuwa alikuwa na binti mwingine behind my back.
Kweli siku hazigandi,mwanzoni nilikuwa nikimpelekea mwanaye amwone nilikuwa naumia sana moyo.
Basi muda umepita nikakubali situation na kumove on.Nilijiambia he is not the only fish on the ocean let me enjoy my little prince.
Mungu hamtupi mja wake nikahamishwa kazi na kwenda another area na cheo juu.Ikawa sipati muda wa kumpelekea mwanae amwone weekends,nikamwambia ukipata chance come nyumbani.
Haha siku kafika kwenye new makazi yangu alipigwa butwaa,na changes alizozikuta.Ofcourse na aliyenisaidia kumove on alikuwepo.Tukamkaribisha kwa bashasha ,akagoma kula akasema kashiba.basi tukamkirimu vivywaji na mazungumzo ya hapa na pale.
Akambeba mwanae akampiga picha then akaaga,akisema atasafiri kidogo akirudi atakuja msalimu tena,akaambiwa karibu.ila duh alikuwa kachoka hatari hadi moyoni nikamwonea imani.
Ila nikayakumbuka maneno yenu wana JF nikajiambia that's life.Ilikuwa lazima anitende ili nikutane na huyu wa sasa.Adios