Man Edi
New Member
- Aug 23, 2016
- 1
- 0
Man Edi kutoka zanzibar, nimezaliwa mwaka 1985, elimu yangu , nina elimu ya utali chet, ninaongea Kiitaliano, kijerumani, kiengereza, ni mtanzania halisi, urefu wangu ft 5 na nusu, ni mweusi, dini muislamu, kwa sasa sina makazi ya zanzibar kwa bahati mbaya naishi Italy. Nahitaji mchumba aliye tayari kuolewa; awe mwaminifu, anayejuwa maisha, anayejithamini na kumjali mumewe. Mawasiliano pm