Love chaos: Anataka tuwe tuu marafiki

strootboy

Member
Nov 28, 2015
49
125
Wewe ni mwanaume, miaka 24, mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Una mrembo mwanamke ambye mnaamini mnapendana sana.

Mmekuwa kwenye uhusiano for more than 2 years. Siku zimeenda akajiunga na chuo ingawaje siyo chuo kikuu.

After some time, akazoea chuo akamake new friends na mambo mengi. Kakutana na kijana chuoni si wakaanza mambo. Ukimuuliza anasema ni just a friend. Baadaye unagundua wanapendana sana. Humwambii unajua. At the end u decide to walk away.

Mrembo anaomba muwe friends. Anadai Mungu hakupanga muwe pamoja, sijui hamwendani na bla bla nyingi. What would you do friends?
 

CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,727
2,000
Kwahiyo uonavyo Landrover zina spare tairi unafikiri walioziweka ni matahira eeh?...Kama hujaoa mwanaume unatakiwa kuwa na tudem kama tano au zaidi, ili mmoja akizingua uwe na pa kupoozea maumivu wakati unaendelea kutafuta replacement taratibu.
 

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,070
2,000
Hiyo ndo maana ya kuwa marafiki kabla hamjaanza kuishi pamoja mnapata mda wa kusomana...Na itabidi ukubaliane na matokeo kuwa mwenzako ameona humuendani na amekueleza mapema ni jambo la heri kabisa...Sana sana ungemuomba akueleze ni tabia gani ama ni mambo gani wewe ulikuwa ukiyafanya hadi akaona hamuendani kama kuna pakujirekebisha ujirekebishe kwa maisha ya mbeleni...
 

nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
4,843
2,000
i will be happy.......nishamchoka kitambo,,,, nlikuwa namtafutia sbb....
 

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,195
2,000
Antolee wendawazmu wake we mim nshakudinya af unataka tuwe marafik
 

the supporter

JF-Expert Member
Aug 18, 2013
593
500
We kuwa rafiki kwani kila unacho taka huwa unapata hapo hapo? Tatizo letu vijana wengi tuna penda kitonga utongoze leo baadae unataka uambiwe yes, dem ndio kwanza umepata namba unataka kungonoka usiku duuuuh ndio maana mahusiano siku hizi haya mudu yapo ki masilahi zaidi
 

nina nchi sita

JF-Expert Member
May 23, 2016
271
250
Yaani wanawake usiwategemee wala usiwaamini trust me br hapo baada ya mda unaweza ukakuta anakuja kukuambia anakupeda

we kama unatafuta wakuoa tafuta tubinti twingi twingi afu tutajichuja twenyewe utajikuta umebaki na mkeo tu
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,736
2,000
Friend wa kazi gani, utachomeshwa mahindi huku anakuchuna taratibu..... Mizigo unaliwa na wengine, achana nae akafie mbele
 

kashnat

Member
Aug 13, 2016
9
45
We kuwa rafiki kwani kila unacho taka huwa unapata hapo hapo? Tatizo letu vijana wengi tuna penda kitonga utongoze leo baadae unataka uambiwe yes, dem ndio kwanza umepata namba unataka kungonoka usiku duuuuh ndio maana mahusiano siku hizi haya mudu yapo ki masilahi zaidi
Kwa mcharazo huu nooooooma
 

Rutayuga91

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
450
250
Acha uoga si unakuwa friend-zoned tu!!
Mbaya akitaka kuwa kama kaka ake dadadekhhh!!
 

griffin2

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
634
1,000
Kubali tu kuwa rafiki siku moja isiyokuwa na jina utalamba bingo, akigombana na basha wake mpe ushauri wa kujenga , mtie moyo anapokuwa amevunjika moyo .usiache kuonyesha hisia zako kwake. akikupa tu gonga sepa ili naye aumie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom