Nimelileta hili kwenu maana hali yangu naona mbaya sana kwa sasa inafikia kipindi naukunyata moyo tu na kuugulia kwa ndani maana naona hisi kama maji yanataka kuzidi unga, nimeoa mtoto flani flani...
Kuna wimbo nilishawahi kusikia mwana jf anauulizia unaosema ""sina demu, kama unavyoniona mpz ndio maana ninekuchagua wewe malkia wangu.. Sio kwamba mimi sitaki demu ila sijamwona mwenye sifa na...
Ndugu zanguni wanaJF najitokeza hapa kwa Mara nyingine!
Mm natafta mchumba/ mke, Elimu yangu ni degree na nina miaka 29. Kwa sasa nipo mtaani nahangaika na maisha, sijaajiriwa ila sijachoka bado...
Kwa ufupi kabisa, natafuta girl anayefanya kazi Dar city centre na anatumia public transport. Awe kati ya 20 to 26 years old, asiwe mnene au mfupi. Nahitaji kampani yake kwenye foleni za jiji hili...
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana.
Karibu PM
Kubaka watoto na kulawiti watoto tatizo ni nini? Wsichana wameisha? Tabata mtoto wa miaka 3 amefariki kwa kutaka kulawitia chooni! Alikabwa na kusababisha umauti, jana watoto wawili wamekufa kwa...
SIFA ZAKE:Awe na umri kati ya 18------24,anaejitambua
BINAFSI:mm ni mwanachuo na mjasiliamali
MWONEKANO:mref ,rang brown af slim kiaina.
Yoyote mwenye sifa hizo anakaribishwa
Ncheki kptia...
Wadau habari zenu,
Natafuta mchumba ili baadae aje awe mke, awe na umri wa miaka 22-27, awe angalau amemaliza form 4 (sababu hapa ni kuwa huyu pamoja na kuwa mchumba/mke atakuwa mshauri wangu au...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 31, degree holder and good looking.
Niko hapa kutafuta binti wa kitanzania mwenye umri usiozidi miaka 31 ambaye yuko tayari kwa long term relationship kabila...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeweweeeeeeee!
Mi nakerekaaaaaa sanaaa unapokutana na mkaka, ambae obviously ni FREE P, he has nothing to put on the table than MARRIAGE OFFER. HAHAHHAAAAAA! It is really...
Habari za saa hizi wadau wote hapa
Nafurahi kuwepo tena jamvini kuwaletea mambo mapya yahusuyo MAHUSIANO MEMA
kumekuwepo na vitabia vya ajabu kati yetu wanadamu hususan wale walioko kwenye...
@arusha,baba mngoni,mama mchagga
Nawasalim wana JF
Nina wivu sana wa mapenzi na nampenda sana laazizi wangu na siko tayari kutengana naye labda asiwepo duniani.Kuishi pamoja bila ugomvi as mme...
Wasalaam,
Leo baada ya kuona mamaa amebanwa nikaamua kumpeleka mtoto Clinic ili kujua maendeleo yake ya kila mwezi. Kweli nimejikuta baba niko peke yangu na nikapewa nafasi japo foleni ilikuwa...
Habari za usiku mabibi na mabwana,
Ni wasaa mwingine tena Kasinde kuzungumza nanyi.
Msema ukweli siku zote mpenzi wa Mungu. Mie tangu nijifahamu kuwa ni mschana bin kigori niliyekamilika idara...
Ndugu wapendwa wana jukwaa,
Awali ya yote niwashukuru wote waliotoa mawazo yao kipindi cha mwanzo nilipoleta thread inayosema Mama mkwe amevunja ndoa yangu
MREJESHO:…
Kutokana na mambo...
Nimefuatilia mara nyingi nimekuja kujiridhisha kuwa hiki kitu kina ukweli...
WANAWAKE WAREMBO
*Wanapofikia wakati wa kuolewa basi uangukia pabaya sana ujikuta wanaolewa namtu ambaye simzuri kwa...
Unampenda msichana kabisa kutoka moyoni unajipanga unamtongoza anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years utamsikia, ''Oh my Ghosh, ur still a kid, mi nadate guys who are 45 years...
Nilikuwa na girlfriend ambaye nilimtoa usichana wake, lakini kadri nilivokaa nae niligundua kwamba maumbile yake yana maji sana, nilishindwa kumvumilia kwa kweli ingawa nilimpenda sana nikaamua...
Unakuta binti unatoka familia ambayo ni bora kidogo unakutana na kijana ambaye kiuchumi yupo chini mnaoana lakini maneno yanakuwa Mengi ndugu hawamuheshimu mume wako wanamdharau wanaona kama...