Jamani nisaidie kuna wimbo nautafuta sana

Jimmy GP

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
253
Reaction score
139
Kuna wimbo nilishawahi kusikia mwana jf anauulizia unaosema ""sina demu, kama unavyoniona mpz ndio maana ninekuchagua wewe malkia wangu.. Sio kwamba mimi sitaki demu ila sijamwona mwenye sifa na uzuri alionao kama wewe malkia wanguuuu"""

Anayeufahamu pls naomba anipe maelekezo niupate huo wimbo n mzuri sana

Thanks
 
Ninaukubali sana nimeutafuta kwenye net sijaupata nitupie kaka
 
Ebwana hakuna kitu kaka hebu nisaidie maelekezo labda huenda nimekosea kuusearch
 
Maana naona tu mnyalu na niki play sio wimbo wenyewe
 
Kuna wimbo nilishawahi kusikia mwana jf anauulizia unaosema ""sina demu, kama unavyoniona mpz ndio maana ninekuchagua wewe malkia wangu.. Sio kwamba mimi sitaki demu ila sijamwona mwenye sifa na uzuri alionao kama wewe malkia wanguuuu"""

Anayeufahamu pls naomba anipe maelekezo niupate huo wimbo n mzuri sana

Thanks
0654999165 nichek whatsapp nkutumie
 
Njoo uuchukue ninao mimi kwenye ipad yangu
 
Kuna wimbo nilishawahi kusikia mwana jf anauulizia unaosema ""sina demu, kama unavyoniona mpz ndio maana ninekuchagua wewe malkia wangu.. Sio kwamba mimi sitaki demu ila sijamwona mwenye sifa na uzuri alionao kama wewe malkia wanguuuu"""

Anayeufahamu pls naomba anipe maelekezo niupate huo wimbo n mzuri sana

Thanks

Huo Hapo Mkuu
 
Attachments

Similar Discussions

Back
Top Bottom