Ni vigumu kumridhisha msichana msagaji

Ni vigumu kumridhisha msichana msagaji

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,264
Wasichana wasagaji aisee ni wazuri hatari balaaaaa! Usishangae ukikutana na demu mkali anakwambia 'I am single' ukashtuka ni kweli yuko
singo upande huu ila upande ule anamiliki wanawake kama wa 4 anawafilimba sawasawa. Sasa wale wenzangu na mie tunaopendaga wasichana wa kwenye Video, unataka uoe demu mkali kama kachorwa kwenye gazeti la Sani, Shepu hiloooo, Sura kama Cousin wake Rihanna.

Kumbana na msagaji mzoefu aliyebadili tabia na kuuvaa uhusika wa U-Wife
Material akajiunga kwaya kanisani na wewe ukakumbana nae Fellowship anasali kwa unyenyekevu, miezi 4 unatangaza ndoa.

Kumridhisha msagaji inataka moyo na ndo ushaoa.
 
Wasichana Wasagaji..Aisee ni wazuri hatariii...Bala
aaaa...Usishangae ukikutana na demu mkaliiii
anakwambia I AM SINGLE ukashtuka,ni kweli yuko
Singo UPANDE HUU...Ila Upande ule anamiliki
wanawake kama wa4 anawafilimba sawasawa..Sasa
wale wenzangu na mie tunaopendaga Mademu wa kwenye Video,unataka uoe demu mkali kama
kachorwa kwenye gazeti la Sani,Shepu hiloooo,Sura
kama Cousin wake Rihanna...Kumbana na Msagaji
mzoefu aliyebadili tabia na kuuvaa uhusika wa U-Wife
Material akajiunga Kwaya Kanisani na wewe
ukakumbana nae Fellowship anasali kwa unyenyekevu,miezi 4 unatangaza Ndoa...Kumridhisha
Msagaji inataka Moyo,na ndo ushaoa...LABDA UTUMIE
MWIKO
Nadhani baada ya MP za wanawake wa jf, shida nyingine wanayokumbana nayo nii hii inayoitwa STUNTER.
 
Atakuanza taratibu mwisho wa siku ili aridhike itabidi ukubali kufanyiwa waliokuwa wanafanyiwa wasagwaji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huachi
 
Back
Top Bottom