Anadai Talaka baada ya mmewe kupigia Punyeto Khanga yake

Anadai Talaka baada ya mmewe kupigia Punyeto Khanga yake

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,316
Reaction score
23,187
Wakuu mkasa huu umetokea Jana maeneo ya hapa Keko. Nilikuwa nasubiri kitimoto yangu taaraibuu. Si unajua mdudu huyu bhanaa, huwa anapikwaa maeneo kidogo ya mafichoo. Sasa nikiwa nasogeza safari yangu bariiiidi ghafla nikasikia sauti za kulalamikaa, oooh F*ck, oooh yees, oo my goood. Mwazoni nilijua jamaa kakamatia chini lakini ndipo nilipo kuja kubaini ni sauti za porno.

Jamaa ambaye alikuwa anatengeneza nyama akaniambia Jamaa huwa anacheki hizi mambo mkewe akiwa katokaa na imekuwa kero kwakee kiasi kwamba anaona aibuu kwa wateja wanaokuja palee.
Baada kama nusu saa hivu nikamuona mchizi aliyekuwa anacheki porno katoka na kuondokaa na kwenda kukaa nje. Huku nikiendelea kusukuma nyama ndipo mkewe akarudi na kutusalimia na kuingia ndani.

Zilipita kama dakika 5 hivi ndipo mkewe akaja nje kwa spidi na kuanza kumuita mumewee kwa sauti kali. Ndipo mumewe akajaa, alipo mfikia karibu mwanamke akaanza kumfokea na kumwambiaa amwambiee ni mwanamke gani aliye lala nae mle ndani mpaka kutumia kanga yake kufutia uchafu wao. Mwanamke alitukana matusi mpaka akaingia ndani kwenda kuitoa ile khanga kutuonesha kama ushahidii. Wakati akifanya hivyo ndipo jamaa akatumia mwanya huo kuondoka kupoteza aibuu kwani watu walikuwa wameanzakujaa .

Mkewe alikuja na Khanga pale nje huku akianza kudai talaka na kukuta mmewe hayupo. Ndipo Jamaa aliyekuwa anatengeneza nyama ikambidi amwite pembeni na kumweleza ukweli na mkasa mzima. Lakini mwanamke bado akataka ushahidi kupitia kwangu nami nikamweleza hivyohivyo. Ilibidi aingie ndani na kuanza kusachi kama kuna CD za porno na ndipo alipokuja kuziona chini ya godoro.

Lakini pamoja na hayo bado mwanamke anadai kadhalilishwa kwani inaonekana mmewe haridhiki nae kiasi kwamba kaamua kuangalia porno na kupiga punyetoo. Ilinibidi niondokee baada ya kuona mambo yamefuraaa.
Sasa leo nimekutana na Jamaa mtaani kwangu na ndipo akanieleza mkewe bado anamsimamo wa kutaka kuondoka na anadai talaka yakee.

Nimejiuliza maswali mengi kutokana na hiki kitendo maana mwazoni nilikuwa naona ni uongo kwa mtu aliyeoa eti anapiga punyeto au kuangalia porno!! Nilimuuliza Jamaa akanijibu kwa kifupi "Kaka acha tu" nikaona nisiendelee kumwuliza maswali ambayo yanaweza mtia hasira tu.

Sasa Wadau tunamsaidiajee Jamaa na hii kitu inasababishwa na nini??
Kama nitapata ushauri mzuri ninaweza kwenda kuongea na mke wake kwani Jamaa tayari tupo karibu
 
Huyo mwanamke hajui punyeto kimeundiwa chama na kina usajili?
Kama hakati viuno lazima mmewe apigee hii mambo
 
Cha kumsaidia huyo jamaa...akae na mkewe waongee kuhusu hilo na kwanni anafanya hivyo...

Kama mke bado povu linamtoka...ampe muda mkewe...time heals they say...atakuja elewa tu...

Kuhusu chanzo cha tatizo..the guy knows better kwanini anafanya hivyo...hapa tutabaki ku assume tu...

Btw kuna threads humu zinazo explain causes za hio kitu...
As for me na assume mke hamridhishi...
 
keko ndio sehemu ya hovyo hovyo tz
kuna kila aina ya uchafu
ila kule ni marufuku kufumumania
 
Kwa njinsi ulivyoandika mhusika akisoma hapa atajua tu ni nani kam-snitch kwenye media. Dah!

Unajua kucheki porn ni kama kula ngada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama kula ngada... Nmecheka sana.
 
Wakulaumiwa ni wewe Ibilisi wewe ndie uliemtia ubilisi kufanya yote hayo halafu unakuja kuandiaka uzi kwa yaliomtokea hapa.
 
Aibu iliyoje hasa kwa mwanamke bila kujalia anamdikisha mumewe au vipi! Wakurupukaji wana chama pia.
 
Punyeto ukiizoea, unaweza toka kwenye papuchi then ndan ya dk5 ukapiga nyeto...
Haijalishi mke/ demu amekuridhisha au lah!
Na huo ndio ukweli...
 
Ukiishi keko ayo mambo kawaida sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom