God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
...
Pia uwe makini na mazingira mengine ya hatari kama ajali inapotokea epuka sana damu, na vifaa vya kazi vyenye ncha kali.uaminifu kwenye mahusiano ndo utakuokoa usipate ukimwi
Una maana gani?Nashukuru kwa kuwa na kundi kubwa motoni, enyi binadamuu endeleeni kula tunda la kati mtakavyoo, nipo pamoja nanyii
Naam!!Una maana gani?
jina lako linasadiki wewe ni mtu wa namna gani.Naam!!
Namaanishaa amini katika jina langu
kwa wanawake gani ndugu? dunia ya leo?Kuwa mwaninifu
Oa
Hutapata ukimwi
Takwimu zinaonesha wanandoa wanaongoza kwa gonjwa hiliKuwa mwaninifu
Oa
Hutapata ukimwi