Wake za watu punguzeni kujiremba

Wake za watu punguzeni kujiremba

Animal Keeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
348
Reaction score
283
Yaani leo nimepata tabu sana mara baada ya mrembo flani hivi amazing kuja kukaa siti moja safari tulikuwa tunaanzia Masasi hadi jijini Dar. Aisee akiacha mtoto nyumbani unaweza kukataa kama amezalishwa na ni mama wa mabinti wawili.

Basi safari ilipo anza sikutaka kujifanya kipofu kumuona tausi alivyonigusa mwili wangu. Stor zilianza baada ya yeye kuniomba nimshikie vipodozi vyake, aisee nilipigwa na butwaa hasa alipoanza kuwa fundi rangi wa midomo yake na uso wake. Binti na mcheshi zen modal flan hivi amazing.

Mtoto alianza kuomba simu yangu ambayo sio ya kibisho sana bali ni Techno W4 kiufupi ameiita ni flat screen coz ni simple sana kui handle. Yeye anamilki Techno C8 jamani wake za watu hawa wana vituko ila nikazidi kuonesha ukidume wangu tukapuga pucha za maana.

Binti akilamba midomo yake mzee lazima astuke maana mashaaalah,
Tukaongea mengi kuhusu maisha ila mwisho wa siku kanidondoshea namba ya whatsapp bila hata kumuomba. Sasa yeye nimemuacha Dar ila mimi nimerudi Ruvu.

Naombeni ushauri, niwasiliane nae au nimpotezee? Maana wake za watu waajabu sana wanatupenda wenyewe.
 
Uzuri hali ya hewa inaruhusu kupata kinywaji cha motoooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
"Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni"

Speaker (Tigo) Yako Itachanwa (Kupasuliwa)

Kaa Mbali Na Majambazi Ndugu!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahahaha lol!

"Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni"

Speaker (Tigo) Yako Itachanwa (Kupasuliwa)

Kaa Mbali Na Majambazi Ndugu!!
 
Aisee mke wako akichukuliwa inauma sana, jiepushe sana na hii fikiria ingekua wako ndio anafanyiwa hivo how could you feel
 
hapo ulipopanda gari kawaida yao hiyo... itakua namfahamu huyo
 
Hahaaa eti mara akaomba simu yangu jamani, endelea hivyohivyo maana shetani nae hachezi mbali na karibu atakupitia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom