Mpenzi wangu anataka tuachane, maoni yenu waungwana

Mpenzi wangu anataka tuachane, maoni yenu waungwana

mhhh apo kuna jambo lipo nyuma,,,mchunguze and am sure lazma utagundua kitu
 
piga chini, wanawake mjini wamejaa tena ukizingatia na huu usawa wa magufuli unawabebaa tu.
 
Kusoma hujui hata picha huoni au.

Kwa msichana yuKo mmoja
 
Achana nae huyo...

Hiyo pesa nirushie kwa halotel....

Hebu chunguza tabia zako na za msichana wako kisha uangalie jinsi ya kuzioanisha......

Ila angalie isije kuwa umempenda jini mla fedha
 
Embu acha kutia aibu wewe...
Piga chini huyo demu.
Mademu wako kibao tu ni ushapu wako tu
 
Embu acha kutia aibu wewe...
Piga chini huyo demu.
Mademu wako kibao tu ni ushapu wako tu
sio kila dem ukimpata ata kupenda kama unavyompenda
 
Niko kwenye mahusiano na nampenda sana huyooo mtoto wa kike nina future naye... na ni muamnifu kwake sana.

Kiukwel tangu niwenae sijawah kuwa na mahusiano na msichana mwingine yaan sijawah kumcheat hata kidogo na wala sifikirii coz nampend na ananipenda... lakin she is always blaming me kuwa simjal na tukigombana kidogo tu ananuna snaa na anataka tuachane...
wamba mm simjali..

Kwa mfano juz aliniambia nimtolee pesa bank nikamwambia nenda mjini naweza kuchelewa kurudi kwa sababu njia anayopita kwenda kazini na anaposhukia kwenda kazini ni kama mita 100 tu umefk kwangu so.

Nikamwambia nenda kwangu kuna pesa nimekuachia kachukue... baadae akanpgia smu kwamba mimi nimeshachelewa kwenda kazini, nikamwambia kwan si unashukia pale mitaa ya kwangu kwa nini tu usiipitie hiyo pesa si ni kama dk 5 tu alafu unaenda kazini?

Akachukia akakata simu, anasema hanielewi na hawez kuwa na mimi anataka tuchane...
Mkuu mi nilivyosoma hii thread yako nimegundua hakuna Ugomvi na wala sababu ya msingi binti kuomba Kuachana na wewe nimesoma mambo ya Crime investigation. Sababu zifuatazo zinahusika

(i) Hakupendi na unavyozidi kuwasiliana naye unamboa sana.
(ii) Huna nguvu za kiume mtoto wa watu umekua ukimgusa tuu Mpaka wiki ipite
(iii) Una Kibamia na Kimemchosha binti wa watu hasuguliwi vizuri.
(iv)Au una limwili kubwa sana anaona Kinyaa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Mkuu,labda unijibu hli swali,we na huyo mpenzio mna umri gani kila mmoja?
 
Back
Top Bottom