am a girl...btn 20-25 years!
black wa kawaida tu.am sooo lonely and every relationship i had before didnt work.i dont know why
i hv some problems in my life,mapoto ya hapa na pale but still...
Kuna jamaa angu ni Mkurya mwenzangu, juzi kati kapeleka mchumba kumtambulisha kwao huko Musoma na huyu mchumba ni hawa tunaokutana nao huku mijini, kwa maelezo ya jamaa, siku hyo wamefika kwao...
Am a young man, aged 26. Niko kwenye likizo ya mahusiano cause na focus na career yangu. So nahitaji rafiki wa kike with no strings attached. Ni fun, relaxation and s3x.
Age limit ni 40
Married...
Wazima humu?
Kuna binti tulikutana nae kwenye mitandao ya kijamii tukiwa kama marafiki wa kawaida hatukuwahi kuingiziana mambo ya kimapenzi siku niliposafiri kikazi nilikuwa mkoani kwao kwa kuwa...
Hivi hawa dada zetu wa kibongo wanaolewa na wazungu.Ni kweli wamezama dimbwini kabisa ndembendembe kwenye huba la mzungu au kuna element za mtonyo zinainfluence huba litokee.
Ninavyowajua dada...
Jumapili iliyopita nlitoka na shemeji yenu kwenda Sehemu flan kubadilisha ladha ya chakula na kusafisha macho. si haba ni kasehemu kenye hadhi yake maana hata vinywaji vyake ni vya bei.soda tsh...
Habari wana JF wote,
Natoa pongezi sana kwa members wote wa JF kwa michango yao, ushauri, maelezo na hata baadhi ya tafiti wanazotoa katika Forum hii ili kuendeleza maisha na taifa kwa ujumla...
Mambo vipi wana JF,
Bila shaka mko poa sana na mambo yenu yanaenda kama mtakavyo.
Natumia nafasi hii kuto ushauri mdogo ila wenye manufaa makubwa sana kwa dada zangu wa JF. Hivi mnajua umuhimu wa...
Habari yako,
Pole na majukumu.
Kuna tatizo linalonisumbua katika mahusiano, ni kwamba kuna mvulana nimetokea kumpenda sana lakini yeye hanipendi na hataki hata kuniona lakini mimi moyo wangu...
Salaam ndugu zangu,
Wahenga walisema "Ndoa ndoano" na wengine wakasema "Ndoa ni fumbo".
Yote hii inaashiria kuna jambo na vijambo ndani yake. Japo yapo mazuri mengi ila napenda hapa tuyamuulike...
Ni kijana 29 na kuendelea.
Ni muajiriwa serikalini lakini pia nimejiajiri.
Naomba nilete mkasa wangu wa yaliyonikuta ambayo mpka sasa naumia na nashindwa wapi nianzie.
NILIPITIA HABARI HUMU...
Nime copy hii kitu toka kwa Zamaradi
Hebu angalia hizo picha hapo kwa umakini sana halafu uniambie kuna ukweli wowote katika maana zilizotolewa kwenye hizo aina za...
][emoji146]: Bwana arusi's na bibi arusi's watarajiwa...do u want ur days to be memorable?
[[emoji146]: If yes we do have a package called "Harusi Pack" you buy a certain amount of bottles of...
Wanawake wanaogopa wanaume wanaovaa pete za ndoa muda wote. Ingawa kuna uwezekano wanaume kutowaogopa kwa kiwango hicho wanawake waliovaa pete. Wakati mwingine wanaume wanachepuka kwa kuwa exposed...
Well, habari zenu Waungwana? Vipi mnafanya deposite au ndio pata pesa starehe zikujie zaidi?.
Wanaume wengi tumekua tukivutiwa na wadada wenye mvuto, hasa wanaojipenda mfano wasafi...
Hivi wakuu, mke wangu kulia sana mpaka majirani wanatoka kutusikiliza usiku nifanyeje yani analia sana. Anakuwa kama namjeruhi vile hata sielewi kabisa.
Mpaka mizuka huwa inaniishia kabisa...
Wakuu salamu,
Nimeona niilete hii kuna mama alifanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma second degree nje ya nchi.
Ni mama msichana lakini yupo na miaka 37 wakati mimi nikiwa na miaka 28...
Wasaalaam wanajukwaa,
Kichwa cha habari cha jieleza, hata vitabu vitakatifu vimeeleza umuhimu wa kutoa au kupeana zawadi kwa wapendwa.
Zawadi ni nzuri, zinaweka hali fulani ya mpewa zawadi...