Wanawake/wasichana jihurumieni

Wanawake/wasichana jihurumieni

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,054
Mambo vipi wana JF,
Bila shaka mko poa sana na mambo yenu yanaenda kama mtakavyo.
Natumia nafasi hii kuto ushauri mdogo ila wenye manufaa makubwa sana kwa dada zangu wa JF. Hivi mnajua umuhimu wa kusema NO/ YES? Sina uhakika kama mnatambua na kuelewa maana ya yes/no.

Kwanini useme NO halafu mwisho wa siku unamaanisha YES?
Hamuoni kama mnanithibitishia kwamba hamna msimamo hata kidogo?
BTW tuachane na hayo maswali turudi kwenye lengo kuu la huu uzi.

Ni kwamba ilikuwa jumamosi iliyopita mida kama ya saa tisa mchana nikiwa na rafiki yangu tukipiga vyombo na stori mingi za town maeneo fulani hapa mjini Daslam mara akatokea mtoto wa aunt yangu akiwa na mwarabu mmoja toka wilaya moja (kilosa) ya mji kasoro bahari(MORO) akiwa amependeza hatari na ukizingatia ana rangi ya mtume, mikogo na nyodo ni hatari.

Kabla ya kuketi chini binamu yangu akawa ameniona na kunifuata tulipokuwa tumekaa. Akatusalimia then stori kimtindo tukacheka kidogo akawa amerudi kwa jamaa yake. Kiukweli aliniacha na maswali mengi sana kwa jinsi alivyopendeza na kupelekea kumtamani kiana ingawa siyo kihivyo..lengo tu nijue aliyekuja naye anamjua vizuri au anabipu kifo.

Wakiwa wanapiga vyombo nikamtumia text nikitaka kujua kama jamaa aliyetinga nae pale ni shemeji au anafukuzia akawa amejibu hapana kiukweli nilifurahi sana kusikia hivyo na bila huruma nikamwambia kuwa makini sana mdogo wangu. Akawa ameuliza kwanini nikamjibu nitafute hakika siwezi kukwambia kwa text ukanielewa.

Pia nikaendelea kumsisitiza kama wametoka out badae wakavunje amri ya saba asiende atafute sababu ya kumwambia jamaa ili wafanye siku nyingine akajibu ...."Worry Nothin' Ma bro.." Moyoni nikajisemea fresh...mission accomplished!

Kwanini niliamua kumwambia hivyo? Ni kwa sababu yule jamaa ndiyo michezo yake ya kuwapa watoto wa kike hela hasa wanafunzi wa chuo na kuwasambazia NGWENGWE..simaanishi kuwa ukikwichikwichi na mwenye NGWENGWE ndiyo unaipata ila kwa dada zetu kuna possibility kubwa sana.

Kila weekend amekuwa akifanya hiyo michezo ya kwenda vyuoni pale Moro town akisaidiana na mawakala (Kowadi)wake wa kuwaweka sawa dada zetu..ili apate kuwatafuna wadada wa chuo wenye njaa kali ya pesa.

Sasa ishu inakuja kwa huyu binamu yangu amesema leo badae anakuja ili nimpe sababu why asimkubalie yule jamaa. Je nimchane ukweli kuhusu yule jamaa alivyo au nimwambie kuwa kabla ya chochote amwambie jamaa wakacheki afya kwanza? Ukiangalia msimamo wa Dada zetu ni sifuri kabisa unaweza mwambia akayarudisha vilevile kwa yule jamaa.

Ingawa sina uhakika kama tayari jamaa kaila PAPUCHI yake..na kama wameisha kwichikwichi tayari na hawakutumia kinga nahisi nitamuingiza binamu yangu katika msongo wa mawazo wana JF.

Kuhusu kutumia ndomu dada zangu hampo makini kabisa ukishakuwa katika hali fulani unasema tu liwalo na liwe tu na ukiangalia umepewa mtonyo wa kutosha so wengine wanakuwa waoga hata kusema..please vaa kwanza bila ndomu sifanyi!. Ukisema sitaki umaanishe kweli sio ukitomaswa tu kidogo ushasahau.

Dada zangu kuweni makini sana na watu wanaomwaga pesa nyingi kama mchanga wa bahari ingawa wakati mwingine unaweza ona kama ni bahati imekuangukia kumbe unaingia kwenye shimo bila kujua.

YES/ NO inaweza kukuokoa sana hivyo jifunze kusema YES/NO kuanzia Leo na ukitamka hayo maneno umaanishe kweli au ni nature? Ukisema NO/YES maana yake ni kinyume chake.
 
'Ukiijua kweli utakuwa huru'

Mwambie ukweli tuu. Kisha mwache aamue mwenyewe.

Kuhusu yes or no dah hapo kidogo pana ukakasi. Mda mwingine mtu anasema no ili kujipa tyme ya kufikiri kwa kina. Au kukuchunguza. Au kukupia kama upo sirias.... si unajua kuna wale wanaume kazi yetu ku test test
 
Tuko pamoja mkuu
 
Wengi wao akili hawana mpaka nawadharau karibu wote, acha wakavune matunda ya tamaa zao.
 
Wengi wao akili hawana mpaka nawadharau karibu wote, acha wakavune matunda ya tamaa zao.
Pole sana mkuu umeongea kwa hisia kali sana. Kumbuka mwanamke huyo huyo ambae akili hana ndo anakuchagua wewe kuwa mume wake

Tuwavumilie tu brother
 
Pole sana mkuu umeongea kwa hisia kali sana. Kumbuka mwanamke huyo huyo ambae akili hana ndo anakuchagua wewe kuwa mume wake

Tuwavumilie tu brother
Hahahah

Ni kweli ila wajitahidi sana kutumia akili zao vizuri!
 
Tatizo moja ambalo lipo sana kwa dada zetu ni uwa hawawachunguzi wanaume wanaowafta, ni tofauti sana na si wanaume uwa tunakua na kauchunguzi ata kidogo kuhusiana na new papuchi
 
acha ubinafsi siku utakayomuona binamu yako kalala kitandan ana ngwengwe kama kwel huyo jamaa anao roho yako itakuuma mpka siku yako ya mwisho mwambie ukwel then kaa pembeni... as long as ulishamuonya siku ya kwanza tu na akija mwambie ukwel so akiendlea aendlee kwa maamuz yake.
ukishindwa kumwambia nipe namba yake nimtafute nimueleze ukwel
 
Point noted brother!
 
Tatizo moja ambalo lipo sana kwa dada zetu ni uwa hawawachunguzi wanaume wanaowafta, ni tofauti sana na si wanaume uwa tunakua na kauchunguzi ata kidogo kuhusiana na new papuchi
Hakika.

Ila tatizo maneno yetu matamu sana mkuu mpaka hiyo ya kusema achunguze anashindwa aisee.

Maana tukiwa mawindoni si ni watu wabaya sana akigeuka huku umemtupia 30 elfu ya vocha akikohoa 50 elfu ya lunch ingawa unajua kabisa atatumia elfu tano tu.

Hapo kuchomoka ni ngumu sana aisee hata akiambiwa ukweli anaona kama mnamzingua aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom