Well fungua wallet, pimp her!

Well fungua wallet, pimp her!

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,886
Well, habari zenu Waungwana? Vipi mnafanya deposite au ndio pata pesa starehe zikujie zaidi?.

Wanaume wengi tumekua tukivutiwa na wadada wenye mvuto, hasa wanaojipenda mfano wasafi, wanaonukia vizuri,ngozi zenye matunzo, kimsingi ni modern ladies

Kwa asili wanawake wanajipenda sana hasa ukikuta anapokea matunzo ya kutosha toka kwa anaemmiliki, unaweza tokwa udenda akikatiza njia zako

Lakini unakuta jamaa anataka kutoka na mdada mrembo na amemkuta hivyo, ye anataka apige tu, kutunza mtoto azidi kuvutia hataki. Wanaume wa dar Wanasema kupiga kisela, cha kushangaza akiwa kwa washikaji zake anavimba kuwa huyo ndio manzi wake lakini kugharamia hataki.

Kuna huyu mwengine yeye ana mke wake wa ndoa na wamezaa nae, alimkuta mtoto wa watu anamvuto anavutia kweli kweli lakini baada ya kumfuja kashindwa kumtunza anakimbilia modern ladies pengine nao wamezaa lakini wanajitunza, macho yanamtoka kwa mvuto alionao.

Guys it has to make sense hakuna haja ya kutolea macho mali za watu wakati watu wanagharamia, well hutaki kufungua wallet kutunza ulie nae, go for one night stand wapo wengi wamejaa.

Unataka mtoto usimchoke kila ukimuona, weka mzigo kwenye bajeti ya matunzo, huwezi?, acha wanaoweza wafanye na ukiwaona wanavutia usitokwe na macho tambua kwamba kuna wanaume wanagharamia SIMPLE!!

Mkeo hana mvuto well PIMP her



To all wapenda mteremko, samahanini lakini I'm just being honest with my name UrbanGentleman!
 
Pia unawza sema Splash the cash, Make her look good, Bang her as you want.

Huu uzi wakina dada watakupendajee..?
Hahahaaaha
 
wewe mkaka nimekupenda bure
mkaka anataka ukamtembelee wkend au mtoke out wkend ukikataa anasema unaringa
aya toa hela ya kujiweka fresh kwa mvuto ooh njoo hivohivo yaani mtu utoke gongo la mboto hadi kijitonyama kwa mpenzi na mabutu kichwani jamani? je ukikutana na mawifi si watakudharau?
 
Mazee wanapenda mtelemko man

Vijana wenyewe wanasema wanaringia ufundi wao aka msingi kiuno.

Hahahaha, BTW dude najua PM ishafurika by now. Wakikuzidia just wengine punguzia kwangu. Waambie mimi na wewe tu mapacha katika hicho ulichokiandika.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
wewe mkaka nimekupenda bure
mkaka anataka ukamtembelee wkend au mtoke out wkend ukikataa anasema unaringa
aya toa hela ya kujiweka fresh kwa mvuto ooh njoo hivohivo yaani mtu utoke gongo la mboto hadi kijitonyama kwa mpenzi na mabutu kichwani jamani? je ukikutana na mawifi si watakudharau?
Mwambie asplash zumngumza nae ataelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom