Wale wasichana 'wanaomegwa' na wazungu

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,212
Hivi hawa dada zetu wa kibongo wanaolewa na wazungu.Ni kweli wamezama dimbwini kabisa ndembendembe kwenye huba la mzungu au kuna element za mtonyo zinainfluence huba litokee.

Ninavyowajua dada zangu walivyozoea kalinye kalinye za midyudyu ya kinyamenya na kisukuma na mikito ya sikinde kweli kabisa mtu aache sindimba la kiafrica aende kuwa muke ya muzungu asilimia 100 for better for worse na kibamia cheupe na cold blood.

Ni penzi la kweli au mchongo wa maisha tu kama ni love tu mbona hamuolewi na wapiga debe makondakta wa kizungu mnasaka vibabu vilio zeeka vyenye hela ili vikifa mrithi nyumba.
 
Mengine yote hayo ni kwenye ndoa au penzi mbwewe tu,kikubwa maisha hasa usawa huu wa mzee Magu.
Bora vipi uhakika wa maisha au hiyo mikito kama unavyodai
Kumbe ni dhiki tu ndo zinazowasumbua
 
ukiwa mrefu halafu mnene na mvivu, mwizi ni kazi bure. ila mfupi mwembamba ila unajituma hakika wewe ni lulu true love anaziba mapengo mengi regardless cold blood or whatever, hizo hot blood ni unashindia mihogo mitama na manundu vinakuhusu michepuko anayo for what?
 
ukiwa mrefu halafu mnene na mvivu, mwizi ni kazi bure. ila mfupi mwembamba ila unajituma hakika wewe ni lulu true love anaziba mapengo mengi regardless cold blood or whatever, hizo hot blood ni unashindia mihogo mitama na manundu vinakuhusu michepuko anayo for what?
Hivi wao si ni wanadamu inakuaje wawe na cold blood?

Kwani wao damu yao ni aina ya Poiklothemic kama ya nyoka? Au mnapenda tu kuwaita cold blood.
 
Hivi Hawa Dada Zetu Wa kibongo wanaolewa Na
Wazungu.. Ni kweli Wamezama Dimbwini kabisaaa
ndembendembe kwenye huba la mzungu au kuna
element za mtonyo zinainfluence Huba litokee..
Ninavyowajua dada zangu walivyozoea kalinye
kalinye za midyudyu ya kinyamenya na kisukuma na mikito ya sikinde... kweli kabisa mtu aache
sindimba la kiafrica aende kuwa muke ya muzungu
asilimia 100 for better for worse na kibamia cheupe
na cold blood...
Ni penzi la kweli au mchongo wa maisha tu...Kama ni
love tu Mbona hamuolewi na wapiga debe makondakta wa kizungu Mnasaka vibabu vilio zeeka
vyenye hela ili vikifa mlithi nyumba.. Shenz!!!
sasa naona unakosa adabu we nchilo maana hao ni mama zako na dada zako atiiii
 
Ila ndo wanafumuliwa rinda hatari, huo naskia kinyaa nikiona mdada ana date na mzungu maana anamengi ya ajabu anapitia kitandani
 
Kitu kibaya kuhusu penzi na mzungu ni kwamba huwa anamtumikisha sana mtu mweusi kitandani. Sanasana kumuingilia kinyume nyume cha maumbile , yaani ukiona demu yupo na mzungu we mpe pole tu , maana yanayompata ni balaa....

Sijui dada yetu Mange kimambi yeye anapatwaga na yapi, maana anawapemda kweli wazungu.
 
Back
Top Bottom